ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea.
Pia soma WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi
Amesema Mikoa ya Iringa,Dodoma,Dar na Kilimanjaro Uzazi umepunguaa zaidi na kutoa wito Kwa Serikali kuangalia sababu kwani baadae itakuwa na athari kubwa kiuchumi Kwa Kuwa na Wazee wengi kuliko Vijana.
My Take
Serikali ipitishe sheria mapema kabisa za kuhimiza watu kuzaa na ifutilie mbali upuuzi wa Wazungu wa Uzazi wa Mpango na mambo ya nyota za kijani kwani Haina Afya Kwa mustakabali wa Nchi.