Mtaalamu: Mwaka 2050 Tanzania itakuwa na watu Milioni 150. Asema kupungua Kwa uzazi kunatishia uchumi wa nchi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea.

Pia soma WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

Amesema Mikoa ya Iringa,Dodoma,Dar na Kilimanjaro Uzazi umepunguaa zaidi na kutoa wito Kwa Serikali kuangalia sababu kwani baadae itakuwa na athari kubwa kiuchumi Kwa Kuwa na Wazee wengi kuliko Vijana.

My Take
Serikali ipitishe sheria mapema kabisa za kuhimiza watu kuzaa na ifutilie mbali upuuzi wa Wazungu wa Uzazi wa Mpango na mambo ya nyota za kijani kwani Haina Afya Kwa mustakabali wa Nchi.

Ni basi tu ila ningejua yanayoendelea duniani nisingekuja. Hongereni kwa tafiti hiyo ila swala la uzazi limekua gumu sababu ya uchumi huo huo kwahiyo kama kuna namna ya kuuumiza huo uchumi kupitia kuto kuzaa then nafkiri its a fair fight , uchumi ukikaza na sisi tunakaza… mkojo mdogo mdogo ndo ulowanisha chupi, tutafika tu!!
Nakubalina na wewe kwamba Uchumi na Elimu inazidi kupunguza kiwango Cha Uzazi.

Miaka ijayo idadi ya Juu ya Watoto itakuwa 3

View: https://www.instagram.com/reel/DEmWURAMhdE/?igsh=MWN5Z2NvODNtOWZhdg==
 
asilimia kubwa ya watanzania ni vijana wadogo ambao hawajaoa

labda baada ya miaka 10,15 ndo tutaona hilo ongezeko la watu
 
Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea.

Pia soma WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

Amesema Mikoa ya Iringa,Dodoma,Dar na Kilimanjaro Uzazi umepunguaa zaidi na kutoa wito Kwa Serikali kuangalia sababu kwani baadae itakuwa na athari kubwa kiuchumi Kwa Kuwa na Wazee wengi kuliko Vijana.

My Take
Serikali ipitishe sheria mapema kabisa za kuhimiza watu kuzaa na ifutilie mbali upuuzi wa Wazungu wa Uzazi wa Mpango na mambo ya nyota za kijani kwani Haina Afya Kwa mustakabali wa Nchi.

View attachment 3197488
Kwa Makadirio ya Kiwango Cha uzazi kipo zaidi ya wastani, hakijapungua in general una double population Kila miaka 30 kwa nchi ya uchumi kama wetu.

Mara chache wataalam wanakuwa na maoni yenye chachu ya tafsiri, haya ya wenzetu yakiwamo.
 
Back
Top Bottom