Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr nina maumivu ya tumbo hapa katikati ya kitovu na sahv usiku yameshuka mpaka hapa karibia na nyonga upande wa kushoto mpaka mguu mzima unaniuma naomba kujua n tatizo gani na dawa kama zipo.

Kwa hilo nitakushauri uende kwenye kituo cha afya na ukafanyiwe vipimo vya ultrasound.
 

Dalili zako zinaonyesha una migraine. Je ulitumia dawa lolote lakupunguza maumivu ya kichwa?
 

Tumia dawa hii kwa miezi tatu, alafu nipe mrejesho:

1. Finasteride 1mg, kidonge kimoja kila siku kwa muda wa miezi tatu.
2. Minoxidil Lotion, Utaipakaa eneo hilo kila siku usiku kwa muda wa miezi tatu.

Asante.
 
Ninatatizo LA mwili kuwasha pindi nikitoka kuoga je ni allergy ya maji au tatizo gani
"Ninatatizo LA mwili kuwasha pindi nikitoka kuoga je ni allergy ya maji au tatizo gani"

Tumia dawa hii kwa muda wa siku tano alafu nipe mrejesho.
Cetrizine 5mg kidonge kimoja kila siku.
 

Nimekujibu kwenye PM.
 
Vipi mchanganyiko wa maziwa fresh na unga wa ubuyu + sukari je,ni salama kwa mtu esp mama mjamzito kutumia au una madhara yoyote?
 
Nnatatizo la kupooza mkono mmoja either wa kulia au kushoto nyakati za usiku wa manane, nnashtuka nakuta umepooza na hauwezi fanya chochote. Nnaupikicha alafu baada kama ya dakika 5 unarudi hali ya kawaida na unakua mzima kabisa. Inatokea mara moja moja sio siku zote, ngependa kujua tatzo ni nini tafadhari
 
Afya Bora ni ubora wa mwili, akili na maisha. Watu wengi wanafikiri kama huna ugonjwa basi una afya bora. Lakini, afya bora ina upana zaidi ya hapo.
Nimeamini asee, ukiwa na mihela af huumwi umwi, unakua vzur sana asee, kiakili na kimuonekano.
 
Dr hivi mimba inaweza sababisha viupeleupele sehemu za ukeni ambavyo hufanana na fangazi? Ni kama vinyama vinaota nje ya uke. Naomba jibu make dawa za fungas nishatumia zote.
 
Nimekuwa na tatizo la kupata muwasho sehemu mavuzi na kwenye pumbu pamoja na kuzunguka mapumbu kwa muda sasa pamoja na kutumia dawa hasa za fangas aina tofauti nilizoandikiwa na madaktari wa hospital tofauti zimekuwa zikinipa nafuu tu baada ya muda tatizo linajirudia pale pale.

Pia nimejaribu kubadilisha underware na kutumia za pamba hasa boxer lakini bado.

Pia natumia medicated soap au detto kila ninapo oga still haisaidii.

Muwasho wenyewe unapojikuna unasikia rahaa hivi..kwa maelezo hayo tafadhali naomba ushauri wa kitiba.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mkuu, Unakunywa maji kwa idadi gani kila siku?
Rangi ya mkojo wako ni gani?
Hakika tatizo hili ni la muda mrefu! Suala la maji mimi ni kiboko wa kunywa maji mengi na kipimo, kama unavyouliza ni rangi ya mkojo.

Nilishafanyiwa CT scan baada ya radiocontrast, bado hapakuwa na cha ajabu. Hakuna stones, etc. Biopsy kwenye matezi madogo ili kuona dalili ya cancer cells, NOTHING! This was in Europe. Nikadhani labda hapa kwetu kitafahamika maana unajua wale jamaa kuna wakati wanatushindwa.

But I tell you, the saliva ni thick kiasi cha kutoka kama uzi mweupe.
 

Nimeelewa tatizo lako. Je uliwahi kutumia dawa gani?
 
Nimeelewa tatizo lako. Je uliwahi kutumia dawa gani?
Dk.sajjad habari.mm nliomba ushauri ,kwamba ninatatizo Kama LA chango ambalo linashuka chini ya kizazi.na kunifanya nipate maumivu wakati wa kujisaidia.na kuhisia Kama utajilazimisha unaweza jisaidia nyama.maana ni maumivu makali mno.pamoja na kukojoa ninasikia maumivu Sana.naomba MSAADA wako maana ni maumivu makali mno
 
Dr nina mtoto ana miaka 4 kufikia mwezi Novemba mwaka huu. tatizo lake hasemi mpaka sasa, ni mara chache anaweza kusema baba au mama basi, anasikia vizuri, Nilimpeleka muhimbili Dr kasema tumpeleke shule ya awali ajichanganye na wenzake na kwamba hana tatizo lolote la kumzuia asiongee. nimempeleka shule huu ni mwezi wa sita sasa bado hasemi na kule shule anaendelea kwenda Naomba msaada Dr. kwa mawasiliano 0715586022
 
Docter huwa naumwa sana na tumbo cku za period na cku zng kubadilika ttzo nini? Pia nna ttzo la allergy ya dawa km declofanic bruphen etc naomba dawa itakayonisaidia kupunguza makali ya tumbo ambayo si NONSAID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…