jwhizzy
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 680
- 389
Limeanza kama miezi 4 baada ya kujifungua.Hii tatizo ili anza pale pale baada ya kujifungua au ulianza wiki moja au mbili baada ya kujifungua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limeanza kama miezi 4 baada ya kujifungua.Hii tatizo ili anza pale pale baada ya kujifungua au ulianza wiki moja au mbili baada ya kujifungua?
natumia zote au mojawaopo
Dr nina maumivu ya tumbo hapa katikati ya kitovu na sahv usiku yameshuka mpaka hapa karibia na nyonga upande wa kushoto mpaka mguu mzima unaniuma naomba kujua n tatizo gani na dawa kama zipo.
Habari doctor,nasumbuliwa sana na kichwa nyakati za kuanzia jioni, wiki yote hii, nilienda kupima nikaambia kila kitu kipo normal, yaani mchana nikiangaika kidogoa au jogging kidogo jioni naugulia maumivu,ina wiki moja sasa. Kichwa kinauma kwa katikati, na pia kinakaribisha homa, nikiamka asubuh nakuta all is well mpaka jioni nyingine tena.bado cjajua tatizo ni nini.
Afya bora ni nini?
Doctor my friend has been diagnosed with ALOPECIA, she just woke up in a morning and find a spot of missing hairs on her head, it went on to be larger and larger now it 2.5mm radius. Dont know what to do she has been using some cream sort medicines prescribed by other doctor's and physician but the condition has not get any better. please help me with this one. View attachment 367402
"Ninatatizo LA mwili kuwasha pindi nikitoka kuoga je ni allergy ya maji au tatizo gani"Ninatatizo LA mwili kuwasha pindi nikitoka kuoga je ni allergy ya maji au tatizo gani
Dr.
Mwanangu wa kiume mwenye miezi mitatu na nusu anatatizo la kuhema, anahema kwa tabu sana na anakuwa kama ana mafua mazito ambayo yamembana sana na anahema kwa kukoloma hata akiwa hajalala, usiku ndio anapata shida zaidi.
Nilienda hospital wamesema ana adenoids ila hawawezi kumkata kwa sababu ya umri wake ila wamempa dawa ambayo kwa kweli sioni kama ana nafuu.
Je, kuna msaada au ushauri naweza pata toka kwako.
Nimeamini asee, ukiwa na mihela af huumwi umwi, unakua vzur sana asee, kiakili na kimuonekano.Afya Bora ni ubora wa mwili, akili na maisha. Watu wengi wanafikiri kama huna ugonjwa basi una afya bora. Lakini, afya bora ina upana zaidi ya hapo.
Hakika tatizo hili ni la muda mrefu! Suala la maji mimi ni kiboko wa kunywa maji mengi na kipimo, kama unavyouliza ni rangi ya mkojo.Mkuu, Unakunywa maji kwa idadi gani kila siku?
Rangi ya mkojo wako ni gani?
Nimekuwa na tatizo la kupata muwasho sehemu mavuzi na kwenye pumbu pamoja na kuzunguka mapumbu kwa muda sasa pamoja na kutumia dawa hasa za fangas aina tofauti nilizoandikiwa na madaktari wa hospital tofauti zimekuwa zikinipa nafuu tu baada ya muda tatizo linajirudia pale pale.
Pia nimejaribu kubadilisha underware na kutumia za pamba hasa boxer lakini bado.
Pia natumia medicated soap au detto kila ninapo oga still haisaidii.
Muwasho wenyewe unapojikuna unasikia rahaa hivi..kwa maelezo hayo tafadhali naomba ushauri wa kitiba.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Dk.sajjad habari.mm nliomba ushauri ,kwamba ninatatizo Kama LA chango ambalo linashuka chini ya kizazi.na kunifanya nipate maumivu wakati wa kujisaidia.na kuhisia Kama utajilazimisha unaweza jisaidia nyama.maana ni maumivu makali mno.pamoja na kukojoa ninasikia maumivu Sana.naomba MSAADA wako maana ni maumivu makali mnoNimeelewa tatizo lako. Je uliwahi kutumia dawa gani?
Dr nina mtoto ana miaka 4 kufikia mwezi Novemba mwaka huu. tatizo lake hasemi mpaka sasa, ni mara chache anaweza kusema baba au mama basi, anasikia vizuri, Nilimpeleka muhimbili Dr kasema tumpeleke shule ya awali ajichanganye na wenzake na kwamba hana tatizo lolote la kumzuia asiongee. nimempeleka shule huu ni mwezi wa sita sasa bado hasemi na kule shule anaendelea kwenda Naomba msaada Dr. kwa mawasiliano 0715586022Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.