Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
-
- #441
Hakika tatizo hili ni la muda mrefu! Suala la maji mimi ni kiboko wa kunywa maji mengi na kipimo, kama unavyouliza ni rangi ya mkojo.
Nilishafanyiwa CT scan baada ya radiocontrast, bado hapakuwa na cha ajabu. Hakuna stones, etc. Biopsy kwenye matezi madogo ili kuona dalili ya cancer cells, NOTHING! This was in Europe. Nikadhani labda hapa kwetu kitafahamika maana unajua wale jamaa kuna wakati wanatushindwa.
But I tell you, the saliva ni thick kiasi cha kutoka kama uzi mweupe.
Nimetumia diclofenac na dawa za kuchua lakini sijaona mabadiliko aisee
Kwa kweli kuzitaja kwa majina ni ngumu kidogo kwa utamaduni wa Watanzania wengi ila nimeshatumia dawa nyingi sana za kitaalama (vidonge) hata nimechoka, leo nina siku ya tatu natumia dawa za asili masna huko phamacy pamenichosha. Nikujikadiria kwa mwaka naweza kutumia dozi 4 hadi 5.
Samahani Dr nikienda kuoga nikimaliza mwili unaanza kuwasha kama vitu vinachoma choma
asante mtaalam maana hii ilinitokea baada ya kusex masaa miwil Bila kupata bao na sikupumzika na kuja kumaliza nakuja kuona shahawa zinadam Dam but nilianza kutumia hizo dawa sasa naona imeisha ishaUmepata infection ya eneo hilo. Tumia dawa hizi:
1. Ciprofloxacin 500mg kidonge kimoja.
2. Doxycycline 100mg, kidonge kimoja kutwa mara mbili kwa siku saba.
3. Metronidazole 400mg kidonge kimoja kutwa mara tatu kwa siku saba.
Nitajaribu.Chukua multivitamins kila siku kwa muda ya miezi moja alafu nipe mrejesho?
Kwa sasa bado inanisumbua sana mkuuKwa sasa hivi unayo typhoid? au unaulizia jinsi yakufanya tatizo hii isijirudie?
Dr. Pole na majukumu mbona kila nikitaka kuku PM inakataaVidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Hivi kwa nini mbu hawezi kueneza ukimwi hali ya kuwa anaweza akamnyonya damu mwenye ukimwi at the same time akunyonya na wewe lakini maambukizi usipate.Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.