Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
- #441
Hakika tatizo hili ni la muda mrefu! Suala la maji mimi ni kiboko wa kunywa maji mengi na kipimo, kama unavyouliza ni rangi ya mkojo.
Nilishafanyiwa CT scan baada ya radiocontrast, bado hapakuwa na cha ajabu. Hakuna stones, etc. Biopsy kwenye matezi madogo ili kuona dalili ya cancer cells, NOTHING! This was in Europe. Nikadhani labda hapa kwetu kitafahamika maana unajua wale jamaa kuna wakati wanatushindwa.
But I tell you, the saliva ni thick kiasi cha kutoka kama uzi mweupe.
Chukua multivitamins kila siku kwa muda ya miezi moja alafu nipe mrejesho?