brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Alaf pia ni kwa nini unaweza ukafanya tendo la ndoa na mwenye ukimwi lakini wewe usipate??Hivi kwa nini mbu hawezi kueneza ukimwi hali ya kuwa anaweza akamnyonya damu mwenye ukimwi at the same time akunyonya na wewe lakini maambukizi usipate.
Asante Dokta Naenda Dukani Sasa hiviSaa moja Kabla kitendo unaweza kutumia sildenafil 50mg kidonge kimoja, unaipata duka la dawa yeyote.
Nimewaona madaktari bingwa pale muhimbili lakini bado sijapata Tiba. Kama unamawasiliano na madokta nje ya nchi wanaoweza kumsaidia Mwanangu naomba unisaidie plzMkuu, kamuone daktari bingwa wa watoto.
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
asante mtaalamHiyo ni antibiotic inayosaidia kwenye infection mbali mbali kama infection ya koo, mkojo, etc.
pole sana ila ninaushauiri kbla dokta hajaja kukujibu, mrejeshe hospital akafanyiwe vipimo zaidi,Pole na majukumu docta!Nina mtoto wa dada angu wakiume umri miaka kumi na nne,alipata ajali seat ikambana tumboni nimempeleka hospital wakampa aspirin ila chakushangaza baada ya wiki mbili kuisha kila akila chakula tumbo linavimba!naomba unisaidie je hilo nitatizo gani?
Pole na majukumu docta!Nina mtoto wa dada angu wakiume umri miaka kumi na nne,alipata ajali seat ikambana tumboni nimempeleka hospital wakampa aspirin ila chakushangaza baada ya wiki mbili kuisha kila akila chakula tumbo linavimba!naomba unisaidie je hilo nitatizo gani?
Pole na majukumu docta!Nina mtoto wa dada angu wakiume umri miaka kumi na nne,alipata ajali seat ikambana tumboni nimempeleka hospital wakampa aspirin ila chakushangaza baada ya wiki mbili kuisha kila akila chakula tumbo linavimba!naomba unisaidie je hilo nitatizo gani?