Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Heshima yako mkuu ... Tatizo langu ni kunawakati mkono au mguu unakufa ganzi baada ya muda unaachia unakuwa sawa.linaweza kuwa tatizo?

Mkuu tatizo hili la ganzi kwenye miguu na mikono unatokea muda wowote au usiku tu?
 

Mkuu atumie dawa hizi alafu nipe mrejesho:

1. Omeflex Tablets; Kidonge kimoja asubuhi na moja jioni kila siku kwa muda wa miezi moja.
2. Neurobione Forte Tablets; Kidonge kimoja kila siku usiku kwa muda wa mie
Viganja vya mikononi kuuma (kuwaka moto) usiku nikishalala

Mkuu atumie dawa hizi alafu nipe mrejesho:

1. Omeflex Tablets; Kidonge kimoja asubuhi na moja jioni kila siku kwa muda wa miezi moja.
2. Neurobione Forte Tablets; Kidonge kimoja kila siku usiku kwa muda wa mie
 
Tatizo la ngiri na tiba yake

Kabla sijakupa dawa ni vizuri ukamuone daktari bingwa wa upasuaji. Kuna Daktari moja anaitwa Dr. Iqbal pale SANITAS Hospital anaweza kukusaidia.

Nasema hivyo kwasababu kama tatizo ni ya maambukizi dawa zitafaa lakini kama tatizo ni "anatomical" basi daktari bingwa wa upasuaji (General Surgeon) ndiyo anaweza kukusaidia.
 
Dawa ya kuvimba korodani (testes)

Chukua dawa hizi:
Ciprofloxacin 500mg kidonge kimoja.
Doxycycline 100mg, kidonge kimoja kutwa mara mbili kwa siku saba.
Metronidazole 400mg kidonge kimoja kutwa mara tatu kwa siku saba.

Dawa hizi zitakusaidia mkuu. Asante.
 
1. Unakunywa maji ya idadi gani kwa siku?
2. Unapata maumivu au tatizo lolote wakati yakukojoa?
3. Unangoja muda gani baada ya bao la kwanza na kabla ya pili?
1.nakunywaga maji mara kwa mara sana, hasa nikiwa dar, naweza kunywa robotatu lina kwa wakati mmoja, na ni zaidi ya mara tano kwa siku
2.sipatagi maumivu wakati wa kukojoa, ila uume huwa na maumivu kwa mbaliiii nikishakojoa bao la kwanza
3.baada yabao la kwanza naweza kukaa dk 15 uume unasimama tena na hapo ndo penye shida, naweza kuendelea na game hata zaid ya dk 40 bila kukojoa na mwezangu analalamika namuumiza inabidi niache, hapo tukishalal asubuhi tukiamka ndo napiga tena bao la asubuhi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…