Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mkuu yaonyesha inaweza kuwa maji iliyopo kwenye kiungu ndani ya masikio ina tatizo au haipo sawa. Ningekushauri umuone daktari bingwa wa masikio, pua na koo (ENT Specialist). Wanapatikana Muhimbili pamoja na SANITAS Hospital.
nilienda hospital daktari akasema akapima na vifaa vyake akasema hiyo hali itaisha tu yenyewe mpaka sasa mwaka umeisha bado inasumbua na kitu kingine mimi huwa ninapotumia computa muda mwingine macho yananza kuona kizunguzungu kisha kichwa kuuma mimi nipo arusha
 
nashukuru kwa moyo wako wa kujitolea kutusaidia angalau kujua matatizo yetu na baadae kupata matibabu sahihi.
Mimi nina mfanyakazi wangu ana matatizo mawili
i)anapenda sana kutafuna mifuniko ya chupa za maji,soda kila wakati
2) analalamika sana kuumwa miguu wakati amekaa,hivyo mara nyingi anapenda miguu kukaa imenyooshwa juu ya kiti au kulala.hali hii ameishi nayo zaidi ya miaka 3
huyu ni jinsia ya kike umri wa miaka 29


Mkuu, Ningependa kupewa taarifa zaidi kidogo:
1. Je meno yake inamuasha au kuumpa maumivu yeyote?
2. Je anayo maumivu kwenye ufizi wa mdomo?
3. Je miguu yake imevimba?
4. Je anapata tatizo la ganzi kwenye miguu?
Dr
ukweli ni kwamba hana tatizo lolote kati ya hayo zaidi ya kulalamika miguu inauma hata akiwa amekaa .la kushangaza ni ile kutafuna vifuniko vya chupa za maji au soda.
 
Yaonyesha una allergy.

Tafadhali chukua dawa hizi kama bado unayo tatizo hilo:

1. Ebastan 5mg, Kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa wiki tatu.
2. Montelukast 5mg, Kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa wiki tatu.
3. Pharmacoff Syrup, kunywa 10ml kutwa mara mbili kwa muda wa wiki mbili.

Asante.
Niliambiwa moyo umepanuka,jee hali hvo inaweza pelekea tatizo la kukohoa nyakat za Jioni na asubuh?
 
Kuna mgonjwa wangu amepotexa sense kuanzia kiunoni kushuka chini......na miguu yake wala sio ya baridi ila hata ukimgusa hasikii kabisa
Je tatizo litakuwa nini? nisaidie doctor
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.









hivi dokta dawa ya typhoid nzuri ukiacha chloromphemical na ciproflaxin,ni ipi,maana mimi nasumbuliwa na typhoid lakini nikitumia dawa hizi siponi kabisa
 
Kuna mgonjwa wangu amepotexa sense kuanzia kiunoni kushuka chini......na miguu yake wala sio ya baridi ila hata ukimgusa hasikii kabisa
Je tatizo litakuwa nini? nisaidie doctor

Inaonyesha mpshipa yake imebanwa kwenye spinal cord. Tafadhali mchukue kwa neurosurgeon Muhimbili Hospital.
 
Nina tatizo la allergic condition ,ninawashwa sana maeneo ya kinywani,masikio na macho.nisipokunywa kitu cha moto kama chai hali hiyo inanisumbua hasa kwenye tezi zilizo kinywani taya la chini,napewa dawa za mzio lakini zinatuliza tu,baadae hali inaendelea vivyo hivyo.
 
1 Maumivu wakati wa kukojoa = Pendelea kunywa sana Maji,madafu,Juisi ya mananasi,Juisi ya muwa na Matikiti.
2 Maumivu ya kiuno = Kama kijana fanya mazoezi ya siteup unapofanya nenda moja kati moja kulia moja kushoto baada ya siku tatu tu nipe mrejesho. Lakini kama mtu mzima jaribu kulala chini kifua juu halafu kunja mguu mmoja goti lifike kifuani zuwia kwa dakika mbili kisha badilisha mguu mwengine rejea hivyo hivyo kwa dakika 15 hadi 30. Pia unaweza kununua dawa ya kupaka inaitwa KIPASI hii dawa nzuri sana.
3 Maumivu ya kichwa na Flu = Hio itakuwa ni Allergy tu unahitaji kutumia Cleritin kidonge kimoja kwa siku baada ya siku mbili au tatu utapata nafuu. lakini ushauri wangu tumia kwa wiki moja mpaka siku 10.
4 Kutokwa na Ute kwenye uume = Kama ni teenager mpaka 25y hio ni kukuwa kwa mwanaume ushajua unachokihitaji(mke) lakini unaweza kufanya mazoezi kupunguza kidogo hiyo kitu. Unaweza kuruka kamba au kukimbia. Lakini kama mtu mzima basi ukinywa hivyo vinywaji vya namba moja vitasaidia sana.
[emoji3] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.









Dr. Ni dawa gan inaweza kutibu ulimi wenye michilizi na unauma ukila vyakula vya moto na vyenye chumvi !!??

thanks 4 your time!!!
 
Doctor habari yako na pia pole kwa majukumu lakini pia pongezi kwa kusaidia bin adam wenzako katika kujaribu kutatua matatizo yao ya kiafya.
Doctor naomba kuuliza kuna ugonjwa nimesikia unaitwa BLOOD CLOTTING, doctor huu ugonjwa husababishwa na nini na pia ni ipi tiba yake?.
 
Dr .habar yako ? mke wangu anatatizo la kukosa usingizi. Ktk usiku mmoja saa 4 had saa 12 asubuh analala masaa mawili na kuamka na hukosa usingiz kabisa baada ya hapo had asubuh. Tatizo ni nini na ipi tiba?
 
Ninapofanya mapenz na mke wangu anatatizo la kutetemeka miguu(vibrate) na humchukua dk15 kuacha kutetemeka .hali hii hutokea kila baada ya kumaliza round. Nini tatzo na tba pia?
 
Vidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.

Je uliambiwa nini na daktari?
Mkuu nilikuwa hospital (Fortis) wiki mbili zilizopita mana niko Delhi kimasomo nikapima nikaonekana nina acid dokta akaniandikia Nexium nimemaliza lakin bado najisikia kama awali no improvements. Dawa gani nzuri niwaondoe hawa acid mkuu.
 
Back
Top Bottom