nilienda hospital daktari akasema akapima na vifaa vyake akasema hiyo hali itaisha tu yenyewe mpaka sasa mwaka umeisha bado inasumbua na kitu kingine mimi huwa ninapotumia computa muda mwingine macho yananza kuona kizunguzungu kisha kichwa kuuma mimi nipo arushaMkuu yaonyesha inaweza kuwa maji iliyopo kwenye kiungu ndani ya masikio ina tatizo au haipo sawa. Ningekushauri umuone daktari bingwa wa masikio, pua na koo (ENT Specialist). Wanapatikana Muhimbili pamoja na SANITAS Hospital.