Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Nina tatizo la kusikia maumivu makali juu ya kiovu na mfa mwingine nabanwa na kiu kama gesi... Nimeenda hosp kibao ila siponi mwexi wa tano sasa..
 
Daktari naomba msaada; Mimi ni mwanamke, nasumbuliwa na tatizo la hormonal imbalance for about three years now. Ktk kuperuzi mitandaoni nimekutana na hii dawa inaitwa VITEX CHASTERBERRY, wanawake wengi wameisifu sana kwa kubalance hormones na kuwafanya washike mimba na kuzaa. Sasa nami nataka niitumie, sasa je 1. Dr. Uzoefu wako ni upi juu ya hii dawa? 2. Je, kwa hapa TZ naweza kuipata wapi? Ama katika maduka gani au phamarcy gani?
Nipo tayari kushauriwa Dr.
Ahsante
 
Dk badounaperuzi
 
Mkuu kunawale wenyesjhida za mikiaa mbeguu azinanguvuu yakufika ukenii shidaa n ninii nadawazake iliziwe NA nguvu
 
DKT KALA LIKIZOO AJUII HIUNDIOO UGONJWA WA WATANZANIA WENGII
 
 

Sijawahi kusikia hiyo dawa. Hizi dawa za mitishamba hakuna uthibitisho yake.
 
Naomba kuuliza dawa za fungus za kwenye maungio ya mapaja dr

Chukuwa dawa hizi kwa muda wa miezi moja:

Terbinafine Cream - Pakaa kutwa mara mbili.
Terbinafine Tablets - Kula kidonge kimoja kila siku.
Zingatia usafi kwenye mapaja na sehemu za siri na kuvaa nguo za ndani safi kila mara
 
Dk jaman DINI YANGU INASEMA KUZOEA KUPOKEA TU N LAANA UNAWEZA WEKA NA NAMBAZAKOO WANAPOPONA WATU NAWASHAURII MKUMBUKE NA SADAKA HATA KWA TGO PESA SWALA LA KUCHELEWA NIACHIENI NITAKUWA NAMKUMBUSHA ANAKUWA BUSY NA WENGINE NAWASHAURII TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…