Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr Mke wangu anatatizo la ganzi ya miguu.na tatizo hili alilipata baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mkubwa.tulipoludi kwa dr aliyemfanyia upasuaji alimuandikia dawa lakini hazijamsaidia sana bado tatizo lipo tafadhar msaada wako dr.
 
Natoa Elimu ya Afya Bure kila Jumamosi saa 3:00 mpaka saa 4:00 asubuhi kwenye Twitter. Elimu haina mwisho
Hearing impaired for almost 13 yrs nw, help me to hear the beautiful sounds of this world plz.......
 
Naomba kujua tiba ya cracking popping sound ya joints kwenye mwili
 
Dr Mke wangu anatatizo la ganzi ya miguu.na tatizo hili alilipata baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji mkubwa.tulipoludi kwa dr aliyemfanyia upasuaji alimuandikia dawa lakini hazijamsaidia sana bado tatizo lipo tafadhar msaada wako dr.

Tafadhali niambie dawa aliyomuwandikia kwaajili ya ganzi
 
Ushauri wangu:

1. Rabeprazole 20mg, Kunywa kidonge kimoja kila siku asubuhi kwa muda wa miezi moja.
2. Punguza kula pilipili na vyakula vyenye pilipili au viungo vingi (spices).
Acha Hizo,Medication (Prescription) haifanyiki Kwa Kusikiliza Maelezo tu Mtandaoni bila Kuonana Na MTU na Kujua Physical exams,History yake Ndef Etc

Usidhalilishe Ethics za Kazi
 
tupo wengi kumbe.nimetulia nisome majibu ya posti za wenzangu kwanza
 
dr.mbona tunashauriwa kutoingiza chochote sikioni na ni vema kwenda kusafishwa hospitali je hii imekaaje ajisafishaje?
 
PROF MAJINGE DCMC DODOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…