Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Habari mkuu.
Nina tatizo la fungas ktk vidole vya mikono na miguu,nimejaribu kutumia dawa za kumeza na kupaka lakini bado cjapata nafuu zaidi ya kupungua na kurudia hali yake ile ile.nifanye nini ili niondokane na hili tatizo.shukran

Unakumbuka dawa ulizotumia?!
 
Habari DK.
Nikilala usiku miguu yangu nahisi haipo sometime inauma kuanzia magotini kutelemka chini hii huw usiku na mchana..

Pia kichwa kuuma upande mara leo huku mara kule na mikono kuanzis begani hadi vidoleni vinauma tatizo ni laupande huu mara ule pia sipati usingizi kabisa sometimes namaliza siku mbili bila kulala.

Hospitali naambiwa sina tatizo!

Msaada tafadhali.
 
Naomba kufaham ni madhara gani mtu anapata kwa kutumia maji yamoto kama njia ya kupunguza tumbo? je, ni kweli kuwa badae tumbo hutepeta?
pia kutumia mkanda maalum wa kupunguza tumbo kuna madhara au nini effect yake kwa badae?

Kwa kweli hizo mkanda hazisaidi chochote. Mazoezi Na ulaji bora pekee ndiyo njia ya kupunguza Tumbo.
 
Nina mpenzi ambaye ana tatizo la kutofika kileleni ata ufanye nini, tangu kuzaliwa kwake ajawahi kupata raha hiyo, zaidi ya romance,kiss na sio sex,
dawa yake nini????
 
Acha kuwaongopea watu wewe. Ute nyeupe pia ni dalili ya infection. Lazima kuangalia dalili zote Na kuelewa hali ya mtu kwanza. Tafadhali kama huna medical degree usipotoshe watu.
Sasa wewe mwenye medical degree mbona hujajitokeza kuelimisha. Elimu ya Afya ni pana wewe.
 
Dokta nina tatzo la vipele chini ya macho yote mawili na nimezunguka hospitali nyingi sijapata uchunguzi na kuna hospitali nilienda dokta wa ngozi akaniambia ugonjwa wangu hauna dawa naomba msaada wako
6238ad54d30b67bd0fffd38f755c968f.jpg
 
Dokta mi nimekua nikipiga punyeto kwa muda mrefu sasa uume wangu haufai hausimami kabisa na ukisimama hata kabla haujaingia kunako napizz hapo hapo na siendelei. Napoteza kumbu kumbu, sina uwezo wa kufikiri, korodani zinauma... Je naanzaje kutatua matatizo yangu?
Mbona hili hulijibu au huna utaalamu nalo?
 
Sasa wewe mwenye medical degree mbona hujajitokeza kuelimisha. Elimu ya Afya ni pana wewe.

Natoa Elimu ya Afya Bure kila Jumamosi saa 3:00 mpaka saa 4:00 asubuhi kwenye Twitter. Elimu haina mwisho
 
Ndiyo kama mama anayo + Na mtoto anayo - ndipo tatizo linatokea Na mama anachomwa Anti-D injection.

Mama akiwa rhesus - na mtoto + ndo kuna shida.Umegeuza Dr,nadhani una kazi nyingi mpaka muda mwingine umakini wapotea kidogo.All is good and we appreciate.Continue with the hard work Doc.
 
Vidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.

Je uliambiwa nini na daktari?
Mkuu mimi nina vidonda vinavyo tokana acidity dawa gani itanisaidia?
 
Mkuu mimi nina vidonda vinavyo tokana acidity dawa gani itanisaidia?
Umejuaje kama vinatokana na acidity? Maana dawa bila uhakika ni tatizo. Je unapata maumivu ya tumbo ukiwa na njaa au ukila chakula? Ukila vyakula vya pilipili limao unajisikiaje? ukijibu nitakusaidia hata kabla ya dokta hajaja kujibu. Kama nimekosea mnisamehe....
 
Nilipima hyperol hawapo na nikapima vidonda vipo
 
Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.

Je uliambiwa nini na daktari?
Kipimo kimeonesha ninahiyo kitu, dawa zake ni zipi?.
 
Dr please nisaidie: nina tatizo la sehem ya mwili kuwa ngumu (SUGU) mfano kwenye unyayo wa mguu na kidole kidogo cha mguu kwa juu sielew hili tatizo linatokana na nini na tiba yake ikoje
 
Back
Top Bottom