Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Unauliza au unatoa taarifa?Doctor..
Tatizo la kuwa na acid nyingi ukeni ,inaua sperms na kusababisha mwanamke kuto pata mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauliza au unatoa taarifa?Doctor..
Tatizo la kuwa na acid nyingi ukeni ,inaua sperms na kusababisha mwanamke kuto pata mimba.
Ur age? Any hx of unprotected sex? ....Kichwa cha uume kinawasha na mda mwingine kinakuwa na maumivu halafu mkojo wa Mara kwa Mara cjui tatizo nn?.
Umetumia Dawa zip na kwa mda gan?Dr naomba kupata ushauri kuhusu fungus zinanisumbua sana,fungus zipo maeneo ya kwenye makende,nimetumia dawa za hospital nyingi sana na za tube lkn sijaona tofauti
Jinsia yako?Ni dawa gani naweza kutumia kusaidia kuongeza damu mwilin
Funguka mkuu unakabwa koo kivip ?Naomb kufahamu dawa ya kukabwa koo
Dawa ni kuoa .....na kama umeoa na still unafanya hiv bas unahitaji counselingDokta habari yako? Mi nina tatizo moja, mi ni mwathirika wa punyeto na kila siku huwa napiga bao 3-4, naomba msaada wako ili niweze kuacha tabia hii
Mimi nina vidonda vya tumbo nimepima H.Pylori ni positive, je naweza kupata dawa ya kutibu tatizo na gharama zake shillingi ngapi?Vidonda vya tumbo hutokana na tatizo la acidity. Ni muhimu kujuwa kwanza kama unayo acidity pekee au umeambiwa na daktari kwamba unayo vidonda vya tumbo. Kama unayo vidonda vya tumbo, unaweza kuwa na bakteria ya "H.Pylori". Madawa zake ni tofauti na mtu aliyokua na acidity pekee.
Je uliambiwa nini na daktari?
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Homeboy acha. Mambo ya uvinza!¡Dawa ya fangasi wa sehemu za siri walioingia mdomoni au kwenye ulimi na kuleta hali kama mtu aliyeungua uji au chai kwenye ulimi lakini hakuna maumivu hata kidogo.