Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dokta habari yako? Mi nina tatizo moja, mi ni mwathirika wa punyeto na kila siku huwa napiga bao 3-4, naomba msaada wako ili niweze kuacha tabia hii
Dawa ni kuoa .....na kama umeoa na still unafanya hiv bas unahitaji counseling
 
msongo wa mawazo unanimaliza! kwa sababu nimekuwa mpweke sana najikuta nina msongo wa mawazo ambao umenisababishia matatizo mengine kama kushindwa kusoma vizuri, kuwa najisikia mchovu masaa 24, kuwahi kupata njaa....etc naweza fanya nini ili niwe vizuri?
 
Dr. Hizi dozi zinaondoa pumu au zinapunguza.

Salbutamol Inhaler na Ipratropium Bromide inhaler.
 
ebwana vp, nauliza mirinda nyeusi inaongeza damu,na je huwa kuna matatzo ya mtu kuzidiwa damu mwilini?
 
ebwana vp naomba unisaidie,nina babu yangu alifanyiwa operation ya tumbo sasa hv hapendi kula kabisa,yan na ukimpa chakula hataki utanisaidiaje apo?
 
Msaada Dr, baada ya kumaliza dozi ya sindano ya power self nimetoka viupele mwili kuanzia miguuni hadi maeneo ya tumbo na mikononi. Je nitumie dawa gani?
 
Mimi nina vidonda vya tumbo nimepima H.Pylori ni positive, je naweza kupata dawa ya kutibu tatizo na gharama zake shillingi ngapi?
 
Habar yako doctor
Ndugu yangu ana tatzo LA miguu kufa ganzi
Kuwa ya baridi
Na wakat mwingne huwa anahisi kama hana mguu nn tiba yake
 
Mkuu asnt kwa elimu swali langu ni kumekuwepo na maandishi mengi kuhusu mti wa MLONGE na faida zake ,je kuna athari yoyote ukitumia mti wa mlonge iwe mbegu,mizizi au unga wake nalmba msjibu dr wangu!?
 
Hi doc mm nlitumia dawa ya misoprostol mwana Jana ad leo sina dalili ya mimba itakua n nini?
 
Vapi Dr., iko kimbia jukwakaa.Nakosa tibabu na shauri nzuri.
 
Mimi ninasumbuliwa na maumivu makali ya kiuno (mgongo) upande mmoja wa kushoto; Naomba ushauri
 
Mkuu Mimi nasumbuliwa na Pumbu kuwasha yani kuna wakati zinawaka moto kabisa,ikipita siku,unakuta inabanduka ngozi kama ya nyoka vile,na pia katika muwasho huu,nikitembea juani huwa ngozi inanyiritika kabisa na kuwa kama na ukandokando flani mweupe,nisaidie tafadhali Dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…