Docta mke wangu amejifugua na ana week tatu mpaka sasa alinambia kuwa ana hamu ya kufanya tendo la ndoa maana alikuwa amekauka tayari sasa nimejisahau nikamwaga ndani je upo uwezekano wa kupata mimba kwa kipibdi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada: Maumivu ya kiuno yananitesa - JamiiForumsMbona heading na ulichoandika ni vitu viwili tofauti
Kuna kitu kimekughafilisha sio bureMimi nasumbuliwa na maumivu ya kiuno kushuka chini ya tako mpaka kwenye mguu wa kushoto naomba msada wenu was tiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nakushukuru kwa niaba ya jamii kwa msaada wako kwayo hasa ktk ukurasa huu adhimu wa tiba.
Mkuu naomba msaada wako, nawashwa sana mwili na kuna mapele makubwa makubwa magumu yameniota sehemu mbalimbali za mwili.
Nimetumia dawaza hospitalini za kumeza na sindano lakini nafuu yake ni kudogo.
Hii hali ina wiki 3 sasa tangu inianzi ila yakianza kuwasha najikuna hadi najijerui kwa kucha.
Sizikumbuki dawa zote nilizotumia ila natamani kugeukia mitishamba labda huko kutakuwa na nafuu ya mapema.
Naomba ushauri wako. Natanguliza shukrani mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app[
Je umetizamia kama una allergy na kitu yoyote maybe ??
Hiyo ni kwamba ukipata vinywaji vyenye sugar example coffee inasababisha swelling of the lens ambayo inakufanya update muono hafifu kuliko kawaida also inkufnya uchoke,upate kichefuchefu na appetite kubadilika na all of the above inasababishwa na increased sugar in your blood mr.so due to fluctuation of sugar in your blood the above signs and symptoms occursHabari Dokta, Tatizo Langu ni kuhusu vitu au vinywaji vyenye Sukari, Nikinywa au nikitumia Vit t vyenye sukari Napoteza kuona kuona vizuri na Mwili unakua Mlegevu/nakua na Uchovu,..Nimepima sukari Nimeambiwa Ipo Kawaida,,
habariMm napenda kuuliza swali langu hili.
Jee kuna dawa ambay inaweza kunisaidia kwenye tatiz la U T I maana kiuno kinanisumbua na wakat napima nimeambiw nna U T I .NAOMBA KAMA KUNA DAWA NZUR
The best thing to do anywe quality amount of water that's it coz hata meds anapatiwa ziko zikifnya kazi ya kustimulate ADH ili apate kutake in a lot of water daily.U.T.I ni infection ya mirija ya mkojo. kama daktari alikupima na kweli unayo tatizo hilo, Basi nitakushauri hivi:
Asante
- Dawa Amoxiclav 500mg kutwa mara mbili kwa siku 7. (Hii dawa unaua vimelea na kuondoa maambukizi)
- Dawa Cital (Hii dawa itakusaidia kuondoa maumivu kwenye mirija ya kukojoa)
- Kunywa maji mengi kama lita 3 au 4 kila siku (unapokunywa maji unapunguza idadi ya vimelea)