Mkuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nakushukuru kwa niaba ya jamii kwa msaada wako kwayo hasa ktk ukurasa huu adhimu wa tiba.
Mkuu naomba msaada wako, nawashwa sana mwili na kuna mapele makubwa makubwa magumu yameniota sehemu mbalimbali za mwili.
Nimetumia dawaza hospitalini za kumeza na sindano lakini nafuu yake ni kudogo.
Hii hali ina wiki 3 sasa tangu inianzi ila yakianza kuwasha najikuna hadi najijerui kwa kucha.
Sizikumbuki dawa zote nilizotumia ila natamani kugeukia mitishamba labda huko kutakuwa na nafuu ya mapema.
Naomba ushauri wako. Natanguliza shukrani mkuu.
Sent using
Jamii Forums mobile app[
Je umetizamia kama una allergy na kitu yoyote maybe ??