Ahsante sana mkuu nashukuru nitafanya hivyoTafuta dawa inaitwa SKYDERM hii ni kibokooo...!! Pole sana
Ngoja nikupm...!!rikiboy Mkuu nasumbuliwa na tatizo sugu la Nguvu za kiume
Pia kwa kupitia clinic za tiba asili tena tofauti walinieleza kuwa nina tatizo la mzungu wa damu. kwa maana mzunguko wangu wa damu haupo vizuri kwa maana damu haitemebei vizuri mwilini. ila wote wameshindwa kunisaidia.
Naomba msaada mkuu
Kama inaanza kutoa damu kisha usaha inamaana ameumia ndani kwa ndani n akutengeneza vidonda japo hamuwezi kuona so vizuri mumpeleke hospital lakini pia inawezekana kuna factor flani zinazosababisha damu kuganda kwa huyo mtoto hazipo sawa. MPELEKE MTOTO HOSPITAL.Habar Dr , naomba ushauri Wa dawa ya kutumia kwa;
Mdogo wangu ambaye anaumri Wa miaka minne/mitano anasumbuliwa na tatizo la pua. Yaani pua yake inatoa damu,usaha kisha harufu mbaya.
Msaada wako Tafadhari
Japo sijajua ni ugonjwa gani
OK shukranKama inaanza kutoa damu kisha usaha inamaana ameumia ndani kwa ndani n akutengeneza vidonda japo hamuwezi kuona so vizuri mumpeleke hospital lakini pia inawezekana kuna factor flani zinazosababisha damu kuganda kwa huyo mtoto hazipo sawa. MPELEKE MTOTO HOSPITAL.
waweza tumia praziquentalnaumwa kichocho naomba msaada
ndugu jitahidi sana kufanya zoezi ili kurekebisha viungo vya mwili wako mfano pushup,kichurachura,kuruka kamba,kukimbia(riadha) n.k maana kukaa kwa muda mrefu inakufanya upatwe na matatizo ya maungio katika kiuno na sehemu zinginezo zinazo karibiana na hapo mfano nyamanyama za mwili(baadhi yao hupatwa na miwasho) na pia mbavu au uti Wa mgongoHabar dokta, Mimi nasumbuliwa na tattz la kuwashwa mail kwa dakika kama 15 baada tu ya kumaliza kuoga Sasa Ni mwaka wa 7 lkn pia nikiloana jasho nikivua nguo tu kosa naanza kuwashwa nikienda hospital nikaambiwa Nina allergy wakanipa madawa ya kichina Ila bd sijapona nateseka kweli!!
2.week moja Sasa nasikia maumivu upande wa kulia wa Kifua kwa ndani maumivu haya nayasikia zaidi nikilala Ila vitu vizito naweza kunyanyua, na Kazi kufanya Kama kawaida Ila inapukuja inshu ya kulala hasa upande huo unauma Sana Sana kiasi Cha kwamba kila usiku nikijigeuza usingizin nilazime nimamke kwa maumivu makali nalala kwa kukaa.. ttz kitakuwa Ni Nini? Je, linahusiano na Kazi ninayoifanya? Mm Ni dereva wa magari makubwa!!!
Kuwashwa baada ya kuoga nina jibu lake 0762766665Dr, nina maswali mawili.
La 1: Nini chanzo cha nyayo za miguu kuhisi zina moto pidi unapokuwa umevaa viatu na ipi tiba yake?
La 2: Chanzo cha ugonjwa wa bawasiri( kuota uvimbe/vidonda kwenye njia ya haja kubwa na dawa yake ni ipi?
Asante.
Kuwashwa nini?Kuwashwa baada ya kuoga nina jibu lake 0762766665
kuhusu swali la kwanzaDr, nina maswali mawili.
La 1: Nini chanzo cha nyayo za miguu kuhisi zina moto pidi unapokuwa umevaa viatu na ipi tiba yake?
La 2: Chanzo cha ugonjwa wa bawasiri( kuota uvimbe/vidonda kwenye njia ya haja kubwa na dawa yake ni ipi?
Asante.
Viatu navaa wakati nikienda kazini, ni ngozi kwa wiki navaa aina 2 havina kamba,kuhusu swali la kwanza
Viatu huwa unavaa kwa muda gani na ni aina gani ya viatu ambavyo huwa unavaaa?. Kwa maana kuna baadhi ya watu wakivaa viatu au aina Fulani ya viatu huwa inawapelekea nyayo au mguu kuuma.
Pia kuna ugonjwa Wa "miguu kuwaka moto"
Kuhusu swali la pili
Chanzo cha bawasili
Kuna sababu mbalimbali zinazopelekea MTU kupatwa na bawasili kama:
Kukaa chooni kwa muda mrefu ukiwa na lengo la kujisadia haja kubwa lakini pasipo kutoa hiyo haja au kutoa kidogo.
Vyakula vya kisasa tunavyo vitumia mfano nafaka zilizokobolewa na viwandani
Kutopata mlo kamili
Kukaa mda mrefu bila kwenda haja kubwa
Kufanya mapenzi kupitia haja kubwa (anal sex)
Kukaa mda mrefu bila kula chakula N.k
TIBA
Kunywa maji kwa wing I
Kula mlo kamili
Jiwekee mazoea ya kutokaa mda mrefu chooni pasipo haja
Kula chakula kwa wakati
Ulaji Wa matunda Mara kwa Mara
Kula vyakula vya asili visivyokobolewa mfano dona
NB: pia kuna aina za bawasili yaani
Inayoota kwa ndani na kuigundua siyo rahisi
Na inayoota inatokeza mpaka nje ya haja kubwa ambayo wakati Wa kujisaidia inaonekana
Na nyingine mda wote inakuwa nje
Jitahidi ufanyiwe checkups
Miguu kuwaka moto mara nyingii huusishwa matatizo ya mfumo wa Nerves ambapo mara nyingi huenda pamoja na miguu kufa ganzi. Dawa yale ni Neuro support ambazo hunywa ndani ya mwezi mmoja pamoja na Vitamin B complex. Muhimu zaidi nenda hospital kabla tatizo halijawa kubwa.Dr, nina maswali mawili.
La 1: Nini chanzo cha nyayo za miguu kuhisi zina moto pidi unapokuwa umevaa viatu na ipi tiba yake?
La 2: Chanzo cha ugonjwa wa bawasiri( kuota uvimbe/vidonda kwenye njia ya haja kubwa na dawa yake ni ipi?
Asante.
hayo in matatizo yanayosababishwa na uharibifu Wa Neva(neuropathy)Viatu navaa wakati nikienda kazini, ni ngozi kwa wiki navaa aina 2 havina kamba,
Jioni navaa simple au sendo,
Kwahiyo tiba yake nini?
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app