Dr. Sajjad Fazel
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 435
- 428
- Thread starter
- #401
Mkuu dawa hii Augmentin vipi uwezo wake?
Hiyo ni antibiotic inayosaidia kwenye infection mbali mbali kama infection ya koo, mkojo, etc.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu dawa hii Augmentin vipi uwezo wake?
mkuu nasumbuliwaa na meno sana tena sana, nimeng"oa meno matano lkn bado mawili yametoboka na yanaumwa sana, please nisaidie
mkuu nilikuwa naomba unielezee huu ugonjwa unaitwa MWEZI MCHANGA hivi hauna tiba ya kudumu kwel?na kwanini mtu anachanganyikiwa periodically and alternatively
Docter huwa naumwa sana na tumbo cku za period na cku zng kubadilika ttzo nini? Pia nna ttzo la allergy ya dawa km declofanic bruphen etc naomba dawa itakayonisaidia kupunguza makali ya tumbo ambayo si NONSAID
Dr ni nini dawa ya kufany "anal sphinter" ziweze kurelax?? kufunguka muda unapohitajikaDr ni nini dawa ya kufany "anal sphinter" ziweze kurelax?? kufunguka muda unapohitajika
Dr.mimi Naomba kujua kama hospital hua kunadawa ya kutibu boasili, na nini mazara yake isipotibiwa, maana madakitari wa miti shamba wanatumalizia pesa zetu bila mafanikio
Doctor samahani naomba kufahamu dawa nzuri kwa ajili ya maumivu ya tumbo na kiuno wakati wa hedhi kwa sababu nasumbuliwa na maumivu haya na ni makali sana kiasi cha kushindwa hata kutembea na muda mwingine huwa natapika sana hadi kuzimia. Nimetumia diclopar lakini nasikia sio nzuri kiafya. Je nifanyeje?
Shukran jazilah!! ndugu daktari kwa kutusaidia ndugu zako kutokana na matatizo mbalimbali ya kiafya.
Mimi napenda kuuliza; hizi siku za karibuni nimepatwa na mabadiliko ya upigaji wa mapigo ya moyo!! Hayapigi kwa ile hali ya kawaida yamekuwa chini kidogo, ikiambatana na uchovu wa mwili, kutoweza kusimama kwa muda mrefu, kichefuchefu!! na kwenda haja ndogo mara kwa mara. Je ni nini sababu ya hali hii?
Asante Doctor.Mimi napenda kuuliza tatizo la kutoa makohozi kooni na mishipa ya shingo kuuma baadhi ya muda husababishwa na nini hasa? Tatizo hili halisababishi maumivu yoyote wakati wa kula chakula.
Nilitumia paracetam na hedex lakin hazikutuliza maumivu, naona ugonjwa wenyew ni reccurent,, nimeambiwa nikapime macho kwa sababu nikiangalia naona vispots vidogo vidogo, huo ugonjwa wa migraine unatibika? Dalili za kuumwa macho pia si kuumwa kichwa?
Dr Naomba majibu ya swali langu la mtoto wa miaka minne kushindwa kuongea plz
daahh neno moja la kumaanisha mwezi mchanga mkuu cjalijua ila kwa ninavyoelewaNipe kingereza chake mkuu.
Mimi dr. Nimefurahi sana kupata nafasi ya kuuliza swali. NINA UGONJWA WA TINNITUS(Ear ringing/bunzing) Yani Nina mngurumo usiokwisha Kama Mlio wa friji katika sikio langu la kushoto , ambao nausikia kama unatokea kichwani ,kwa muda wa mwezi mmoja sasa. Naomba unipe maelezo kuwa unasababishwa na nini pamoja na Tiba yake.
Sent from my iPad using JamiiForums
daahh neno moja la kumaanisha mwezi mchanga mkuu cjalijua ila kwa ninavyoelewa
mwezi mchanga-mtu huwa anachanganyikiwa(anakuwa chizi) kwa kipindi flan kila mwaka ila kuna kipindi anakuwa sawa na mzima kabisa
ahsante na kwako pia mkuu.Samahani sijawahi kusikia tatizo hilo mkuu, Na mpaka nipate kingereza chake itakuwa ngumu. Lakini kama ni tatizo la kuwa chizi unaweza kumpeleka huyo mgonjwa kwa madaktari bongwa wa akili; Psychiatrist. Asante.
Dokta nina tatizo la kutokwa na damu puani hasa kipindi cha joto. Tangia utotoni mpaka saiv. Sijui ni tatizo gani hilo
Dokta naomba kuuliza naweza kutumia dawa gani ya kurekebisha homoni,maana tatizo langu maziwa yanatoka kama na nyonyesha au mjamzito ila sio mengi nimeenda hospital nimepata tiba ila bado naona tatizo lipo nikitumia dawa zinanisaidia kwa muda ule ninaotumia baadae tatizo naliona mara ya mwisho hospital nilipewa dawa aina ya Bromocriptine naomba unisaidie kwa Ilo nitumie dawa gani kuondoa tatizo kabisa.
Kwanza pole na kazi dr mimi nasumbuliwa na tatizo la UTI niseme ni sugu mana nlienda kupima nkaadikiwa dawa mara ya kwanza nlichoma powerself tano bado nkawa naskia maumivu ya korodani moja ya kulia mpk sehem ya juu ya tumbo km eneo la kitovuni kwa pembeni upande wa kulia nkaenda tena kupima kwa utrasound nkaambiwa nimevimba korodani ndio sabb napata maumivu haya sasa nkaandikiwa dawa hizi doxyacyline 100mg bd 7/7,Metronidazole 400mg fid 7/7,Ciproflaxin500mg bd7/7,Brusfan 5/7 sasa nasikia maumivu tena upande uleule sehemu ya juu tumbo na korodani nashindwa kujua je nitumie dawa gani?