Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Malawi) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 
Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!Ofa!!!ofa!!!ofa!!!
Ninauza mayai ya kuku wa kienyeji(Kuroiler) kwa ajili ya kula na pia ukitaka kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana kwa order.

Bei ya tray moja ni elfu kumi tu(10,000tsh) ninapatikana Dar es salaam Tegeta-Madale na ukitaka tray kuanzia kumi unaletewa popote ulipo bure ila ukihitaji pungufu ya hapo utatoa nauli nusu na sisi tutakuchangia nusu..kwa mawasiliano zaidi 0769345032 au 0654250816 karibuni sana.
 
Nimepata mayai leo na nimetamishia nategemea vifaranga vya kutosha
 
Habari yako mkuu.
Naomba kufahamu ni tatizo gani linapelekea mpk Vifaranga vyangu vinakuwa vinabakiwa na kinyesi makalioni(yanajishika mengi sio kawaida) na tiba yake ni nini?
 
doctor tunakuomba kwenye group letu la ufugaji kuku Ufugaji wa kuku
 
Mkuu habari, bata wangu anakula mayai yake. Alitaga mayai kumi na tatu kila siku anakula moja moja hili tatizo naweza litibu vipi
 
Mkuu habari naomba unielekeze namna ya kutengeneza funza kama chakula cha kuku maana kuna sehemu nilipita nkaona huo utaalamu mkuu
 
Mkuu! Salute! Swali: kuku wangu mmoja ni nimemkuta na dalili zifuatazo: 1. kuharisha kinyesi cha kijani na nyeupe, 2 kudhoofu/kukonda na kukosa hamu ya kula, na kuzubaa.

Mimi nimehisi ni newcastle au typhoid,
Mpaka sasa sijawachanja kuku wangu mara ya pili newcastle vaccine,na nimekagua sion mwingine mwenye dalili, je kuna hatua za kuchukua kabla ya kuwachanja? Je magonjwa ninayohisi ni sahihi?
 
Mkuu kwa case yako kuku kutoa choo cheupe kilichochanganya na kijani ni mwanzo mwa dalili ya homa ya matumbo kwa kuku (fowl typhoid) ama kipindupindu cha kuku (fowl cholera) hivyo basi ningekushauri umtenge huyo kuku mgonjwa na umwanzishie dose ya ESB3 kwa siku tatu changanya vijiko vinne vya chai kwa maji ya lita 20 mpe anywe.....

Na pia ningependa uwaanzishie dose kuku waliosalia kwa kuwapa pia Esb3 iwe kama prophylaxis dhidi ya ugonjwa huu....

Kwanini Esb3 hii dawa ni jamii ya sulfur na inauwezo wa kukinga kuku wako dhidi ya magonjwa matatu nayo ni fowl typhoid fowl cholera na coccidiosis....

Kila la kheri Mkuu....
 
Nawezaje kupata mealworms
Mkuu sijawa na access ya kuwapata hao minyoo kwa ajili ya kuwalisha kuku....

Ila muda si mrefu nitaleta somo humu ndani ni jinsi gani ya kuandaa hao minyoo na imani nitakuwa nimewasaidia wafugaji wengi pia ikiwemo na wewe ....

Na faida ya hao minyoo kwa kuku...

Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…