Pia Kama ukihiitaji kukupatia huduma hiyo unaweza tukazungumza tuyajenge vizuri ndugu yangu me ni daktar wa mifugo
Ok Kuna magonjwa hatari sana kwa mbwa Kama parvovirus,rabies,distemper leptospirosis unatakiwa kupiga chanjo ya rabies vaccine,na chanjo moja inayobeba magonjwa manne inaitwa DHLP hii husaidia kuzuia magonjwa dhidi ya mbwa wako