mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Naomba kujua ishara (features) za mbuzi halisi wa maziwa na aina za mbuzi hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu snochet tafadhali bado nasubiri kusikia toka kwako mkuuUna case kama ya kwangu--mimi ni 70+
Nilichogundua ni either kuna dawa feki au kuku wetu wamekuwa resistant na dawa zao.
Cha ajabu ukiwapa dawa za binadamu wanaonyesha dalili za kupona.
Nimewapa antibiotics(rangi mbili) na majani wanaonyesha nafuu.
Ninatumia ampiclox(atleast vidonge vitano kwenye ndoo ndogo) na Doxy.Ni dawa gani umewapatia mkuu, na kipimo umefanyaje? Sasa nawapondea pilipili pamoja na tangawizi natia huo mchanganyiko kwenye maji yao ya kunywa lakini bado hawako sawa. Mpaka sasa wamekufa 120, nimechoka kabisa mkuu.
Asante mkuu, nimesubiri sana reply yako. Nashukuru sanaNinatumia ampiclox(atleast vidonge vitano kwenye ndoo ndogo) na Doxy.
Dawa ya kikohozi,tumia mucolyn ya watoto.
Dawa ambazo zipo kwenye makabati ambazo either ni multivitamin au antibiotic--unaweza ukawapa..ilimradi zisiwe zime expire.
Kwa wale wanaokoroma--fungua kidonge kimoja cha ampiclox-weka kwenye kijiko na maji kidogo then mnyweshe.Kama wameshaanza kutoa matongotongo-yatoe na njiti ya kiberiti na ufute na tissue.
Hakikisha umewapa chanjo kwa wakati.
Mimi imenisaidia sana kupunguza vifo.Serving,wanyime maji kuanzia saa 10 jioni,wape pumba,uwawekee maji around saa 4 kesho yake.
Kila la kheri.
Mkuu na me nipo chanika unafuga mmbwa wa kizungu?Habari nimeanza kufuga mbwa toka niwanunue sijawahi kuwapa chanjo yeyote nishauri dawa ya kuwapa dhidi ya minyoo kabla hawajapata minyoo na magonjwa engine
Napatikana chanika
Kama wakizunguMkuu na me nipo chanika unafuga mmbwa wa kizungu?
Levamosole drugs ila kuwa makini wakati wakutumia dawa hii ni Kali mno kwa wanyama endapo ukizidisha doseDawa yake ipi? Maana hii nami imenisumbua
Ulianza kipindi ganiNg'ombe wangu anatoa ute mweupe uken upo kam mafua hv je amepata na maambukizi gan na dawa yake nn
Unaweza ndugu yangu nicheck kwenye number 0674740836 tuyajenge zaidiHabari wapendwa nawezaje kunenepesha nguruwe wangu kwa muda mfupi
Pengine yupo kwenye heatUlianza kipindi gani
Unapatikana wapi ndugu yangu?Nina mpango wa kuanza ufugaji wa Mbuzi,ng'ombe na kuku
Ila nahitaji mbia ambae ni mtaalamu na tabibu wa mifugo akiwa na mtaji pia
Niko nje ya nchiUnapatikana wapi ndugu yangu?
Hakuna shida utanichek 0674740836 utanipata muda woteNiko nje ya nchi
Nikirudi ntaanza mchakato ila bado
Uzi mzuri
Naomba kujua ishara (features) za mbuzi halisi wa maziwa na aina za mbuzi hao
Habari nimeanza kufuga mbwa toka niwanunue sijawahi kuwapa chanjo yeyote nishauri dawa ya kuwapa dhidi ya minyoo kabla hawajapata minyoo na magonjwa engine
Napatikana chanika