theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
- Thread starter
-
- #261
Kesho nitaleta somo kuhusiana na utengenezaji wa slikworm na faida zake kuwa mvumilivu mkuuMkuu habari naomba unielekeze namna ya kutengeneza funza kama chakula cha kuku maana kuna sehemu nilipita nkaona huo utaalamu mkuu
Mkuu kwa tatizo lako kuku wako ana mapungufu ya madini ya ca/P hivyo basi ningeomba uongeze DCP katika chakula chao..... Na imani tatizo lako litakuwa solvedMkuu habari, bata wangu anakula mayai yake. Alitaga mayai kumi na tatu kila siku anakula moja moja hili tatizo naweza litibu vipi
Unahitaji kuku wa aina gani mkuuUnatotolesha? Vipi bei za vifaranga?
Ningependa kujua unawapa chakula cha aina gani vifaranga wako mkuuHabari yako mkuu.
Naomba kufahamu ni tatizo gani linapelekea mpk Vifaranga vyangu vinakuwa vinabakiwa na kinyesi makalioni(yanajishika mengi sio kawaida) na tiba yake ni nini?
Unapatikana wapi mkuu check me thru 0712784472 for more detail mkuuUshauru nimenunua viumbwa 2 niwatunzeje? Yaani Chakula na Madawa Dr. Wana mwezi tu
Ntakucheck mkuuUnapatikana wapi mkuu check me thru 0712784472 for more detail mkuu
Fanya hivyo nitakupa ratiba safi kabisa na kama utakuwa dar itapendeza zaidi nitakuwa daktari wakoNtakucheck mkuu
Sipo Dar Mkuu natamani ungekuwa Dr wa papi Wangu, japo ungenijibu humu pia ingekuwa faida kwa wana Jamii Forum. Kwa sasa nawapa maziwa ya Ngombe na Supu.Fanya hivyo nitakupa ratiba safi kabisa na kama utakuwa dar itapendeza zaidi nitakuwa daktari wako
Ndio ratiba zao hizo kesho nitatoa maelezo kwa kina kuwa na amaniSipo Dar Mkuu natamani ungekuwa Dr wa papi Wangu, japo ungenijibu humu pia ingekuwa faida kwa wana Jamii Forum. Kwa sasa nawapa maziwa ya Ngombe na Supu.
Tumia amitraz mkuu itawaondoa wote...Habari dr, mbwa wangu wana viroboto tena vikubwa, nilitumia ile tunayoweka kwenye kuku haijawatibu, je nitumie dawa gani kali iue hivyo viroboto? Huwa nawaogeshea na tiktik
Hapa itabidi nimtafute mtaalamu . vipi kuhusu vyakula kwa umrii huu Mkuu,maana wananyonya maziwa kushinda mtt![emoji2]Ndio ratiba zao hizo kesho nitatoa maelezo kwa kina kuwa na amaniView attachment 717062View attachment 717063
Wana wiki ngapi vile mkuu...Hapa itabidi nimtafute mtaalamu . vipi kuhusu vyakula kwa umrii huu Mkuu,maana wananyonya maziwa kushinda mtt![emoji2]
NneWana wiki ngapi vile mkuu...
Vimeanza kutembea na kamoja kana bweka
Wape uji uliotengenezwa na unga wa mahindi ulichanganywa na maziwa iko vizuri sana mkuu
Mlo Mara ngapi maana hats USIKU naamka! Kwa kifupi napenda sana mbwa,hawa niliwakuta Sokoni wamezaaliwa na mama yao wasamaria wema wakasema hajaonekana siku mbili ikabidi waniuzie Mwenye banda walipo zaliwaWape uji uliotengenezwa na unga wa mahindi ulichanganywa na maziwa iko vizuri sana mkuu