intramammary Infusion jets umezitumia?(2. Penstrep - dawa nzuri sana. Intramuscular injection..1 cc per 20kg....then kuzuia systemic infection mchome na hiyo sindano. Then nipe mrejesho.)
1. Penstrep - Hii nimetumia kwa siku 3 Asubuhi na Jioni na angalau imezibua Chuchu na Jioni hii ametoa Majimaji ila siyo mengi, damu hajatoa.
2. Intramuscular injection..1 cc per 20kg....then kuzuia systemic infection mchome na hiyo sindano.
MKUU NADHANI IMEBAKI HII?
Ahsante.
Intramammary delivery of an antibiotic into the mammary gland, by way of an intramammary infusion, is one of the most effective and commonly used methods to treat and/or prevent mastitis. There are two different types of intramammary antibiotic infusions and it is important to understand the differences between them.
Unaingiza kwenye tundu la titi baada ya kuondoa kzibo. Haijawahi kuniangusha. Wasiwasi wangu ni utapeli wa fake products, short of that ni very effective.
Hakikisha unamkamua ng'ombe maziwa yote yanaisha kabisa