Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

Wakuu nina kondoo wangu anakohoa sana wakati wa usiku..
Ila mchana anakula vizuri na wenzake
Tatito litakua ni nini
Kuna mawili inaweza kuwa ni pneumonia maana huwa inawasumbua sana kondoo, pia yaweza kuwa ni minyoo hivyo nakushauri tafuta mtaalamu aliye karibu nawe kwa msaada zaidi.

Unaweza nitajia dawa ya minyoo ambayo umepatia na umekuwa ukiwapatia kila baada ya muda gani?
 
Guys, msaada nguruwe wangu growth yake haiko vizuri ukilinganisha na wenzake, ila kula anakula vizuri kabisa
Naomba kujua formular ya chakula unayowapatia tafadhali, pili nataka kufahamu ratiba yako ya dawa ya minyoo nitakushauri jambo
 
A

Ana umri gani tafadhali maana unavyosema ndama ni ng’ombe ambaye yupo chini ya miezi sita
Nilitumia neno ndama kumaanisha mdogo nilikuwa cjui kwamb ndama ni chin ya miez 6. Huy nilimnunua kwa mtu mwez wa 7 /24 / 2022 aliniambia alikuwa na mwaka na miez 2 had kufikia ule mwez wa 7.
 
Nilitumia neno ndama kumaanisha mdogo nilikuwa cjui kwamb ndama ni chin ya miez 6. Huy nilimnunua kwa mtu mwez wa 7 /24 / 2022 aliniambia alikuwa na mwaka na miez 2 had kufikia ule mwez wa 7.
Changamoto ambayo umeiona kwake hasa ni ipi mkuu
 
Changamoto yako ya mastitis iliisha
Hakuna changamoto ila niliona ni mdogo alaf alionesha kupata joto ndio nilikuwa nashangaa nilizoea had awe mkubwa kuanzia miaka 2. Kingine madume yenyew huk waliokuwa karbu ni wakubwa sana ndio nawaz nifanyaje
 
Photosensitivity hiyo, inatokana na mnyama kula poisonous plants.
 
Minyoo hiyo, cattle lungworms (Dictyocaulus viviparus).
 
Mbwa wangu Aina ya Germany
Mbwa wangu Aina ya Germany shepherd anadondosha manyoya mengi sana tatizo ni nini?
 
Kwaio cha kufanya apone kabisa na kuzuia asiendelee kua carrier ni nini
 
Me nliambiwa et ni kawaida niwe nawacomb nipunguze kuwaoshea dawa..
Mwanzoni yalikuwa yanadondoka kawaida sikuwa na shaka sana, Ila sasa yaani yanadondoka mengi mpaka unakuwa kelo kwasababu eneo lote ni manyoya tu hadi kwenye chakula
 
Nina mpango wa kuanza ufugaji wa Mbuzi,ng'ombe na kuku
Ila nahitaji mbia ambae ni mtaalamu na tabibu wa mifugo akiwa na mtaji pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…