Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

Kamaa anatoa udenda san may be ana wooden tongue
 
nahitaji kufahamu mengi kutoka kwako daktari!Mimi pia ni mwanafunzi katika nyanja hiyo ningependa kukufahamu Kwa ushauri on how to tackle and going with changes
 
Tatizo la mmeng'enyo kwenye mfuko wa chakula kwa kuku aina ya kuroila, je nini chanzo na tiba?
 
Samahani wakuu hivi ni sahihi kuchanganya dawa za aina mbili tofauti kwenye maji ya kunywa? Kwa ajili ya kuku
 
Kiutaalamu sio sahihi lakini kama zinaendana kwetu sisi (local)tunachanganya tuuh ila kigezo dawa ziwe zinaendana Ili kuongezea ufanisi
 
Wataalam habari ya majukumu? Samahani kuku wangu wa kienyeji wanasumbuliwa na mafua, macho,pia wanasinzia ,Kwa mjuvi naomba msaada nipate japo ukombozi wa jina la dawa iwe ya kienyeji au kisasa! Nawasilisha
 
Mkuu darasa lako linatija sana hususan kwasisi wahanga wa mifugo na kilimo,, ombi langu kwako kama umeunda kundi wasap group kwaajil ya kutuoa elimu na ushauri naomba uniunge na Mimi Kwa nguvu zote! 0622333899,,,
 
Swali! Ikiwa nimenunua kuku wa kienyeji sehemu tofaut wenye ukubwa tofauti ambao kwakiasi kikubwa kuku wengi hawapewi chanjo ya marex, je napaswa kuchukua tahadhari zipi kwenye upande wa chanjo? Naomba msaada
 
Wataalam habari ya majukumu? Samahani kuku wangu wa kienyeji wanasumbuliwa na mafua, macho,pia wanasinzia ,Kwa mjuvi naomba msaada nipate japo ukombozi wa jina la dawa iwe ya kienyeji au kisasa! Nawasilisha
Nenda duka la mifugo ukanunue dawa ya mafua uwatilie kwenye maji wanywe watapona mkuu.
 
Swali! Ikiwa nimenunua kuku wa kienyeji sehemu tofaut wenye ukubwa tofauti ambao kwakiasi kikubwa kuku wengi hawapewi chanjo ya marex, je napaswa kuchukua tahadhari zipi kwenye upande wa chanjo? Naomba msaada

Swali! Ikiwa nimenunua kuku wa kienyeji sehemu tofaut wenye ukubwa tofauti ambao kwakiasi kikubwa kuku wengi hawapewi chanjo ya marex, je napaswa kuchukua tahadhari zipi kwenye upande wa chanjo? Naomba msaada
Mkuu chanjo ya Mareks hutolewa kwa vifaranga siku wanapototolewa. Hawo kuku wakubwa wamepita muda. Wape tu chanjo ya kideri kila baada ya miezi 3.
 
Wataalam habari ya majukumu? Samahani kuku wangu wa kienyeji wanasumbuliwa na mafua, macho,pia wanasinzia ,Kwa mjuvi naomba msaada nipate japo ukombozi wa jina la dawa iwe ya kienyeji au kisasa! Nawasilisha
nunua dawa inaitwa barocine wape mls3 kwa lt ya maji hiyo ni high doze itamaliza tatizo ndani ya siku tatu
 
Swali! Ikiwa nimenunua kuku wa kienyeji sehemu tofaut wenye ukubwa tofauti ambao kwakiasi kikubwa kuku wengi hawapewi chanjo ya marex, je napaswa kuchukua tahadhari zipi kwenye upande wa chanjo? Naomba msaada
kwanza puliza banda kuku wakiwa ndani dawa ya disinfectant V-ride kisha anza kuwapa chanjo wote kwa pamoja anza na kideri ,gomboro rudia kideri hapo unawapa kideri wiki 1 then gomboro unasubiri mada ya wiki2 rudia kideri usiache kuwapa multvitamin kwenye maji
 
Brother kwema
Nitanguluze shukurani zangu kwa kumpata mtaalamu mwenye elimu juu ya mifugo ,mie ni mjadilia mali najishughulisha na ufugaji wa kunenepeshe ng'ombe changa moto kubwa ni haya madawa ya kuweza kusaidia ng'ombe kunenepa kwa wakati na mda mwingine hatujui ni dawa gani inayo faa kumchoma na kuweza kumfanya kunenepa kwa kwa wakati ,pia upande wa lishe napo changa moto ni nyingi .
Naomba msaada juu ya hayo maelezo
 
Mbwa akipewa nini atakuwa mkali zaidi ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali naomba kujua kama kirutubisho cha carogold kina madhara kwa binadamu na kuku watakao totolewa kutoka kwenye mayai ya kuku waliopewa kirutubisho hicho.
 
Tafadhali naomba kujua kama kirutubisho cha carogold kina madhara kwa binadamu na kuku watakao totolewa kutoka kwenye mayai ya kuku waliopewa kirutubisho hicho.
Hakina. madhara yoyote kwa kuku wala kwa binadamu mkuu.
 
Mbwa akipewa nini atakuwa mkali zaidi ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mkuu kuhusu mbwa yapo mambo kadhaa yatakusaidia!
Jambo la kwanza chukua jumba la manyigu Lile dubwasha linalokaa manyigu Yale yanayo ng'ata kama nyuki hrf changanya kwenye chakula Cha mbwa piga dozi mara 4 Kwa mwezi mmoja inamaana Kila wiki weka mara moja au hata mara mbili ikiwezekana,,
Pili,, hakikisha mbwa anafugiwa mazingira ambayo haonani na mtu kabisaaa yaan mfungie Kwa tiba mwez mmoja bila kutoka nje ya Banda hrf Kila wiki unamchapa viboko kadhaa Hilo litamfanya Kila akimuona mtu ahisi anakuja kumchapa,weka mazingira kwamba unamfungulia usiku tuuu kuanzia saa Tano na kumrudisha bandan saa 0530 alfajir.
Tatu.. mpe nyama mbichi yenye pilipili nyingi hasa akiwa na njaa Kali angalau mara moja moja Kwa wiki! Fungia mbwa wako muda mwingi Banda liwe mbali na makazi ya watu wengine mnyime uhuru hrf uwe unapata muda wa kumpiga usafii,tiba zake zote na mazoez! Mzee ukizingatia hayo hakuna atakae gusa hata mpakan mwa nyumba,uzio au shamba kwanza atakuwa na uwezo na uwezo mzuri wakunusa kuanzia MITA 70 anahis hatari bilashida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…