Ok Kuna magonjwa hatari sana kwa mbwa Kama parvovirus,rabies,distemper leptospirosis unatakiwa kupiga chanjo ya rabies vaccine,na chanjo moja inayobeba magonjwa manne inaitwa DHLP hii husaidia kuzuia magonjwa dhidi ya mbwa wako
Ok Kuna magonjwa hatari sana kwa mbwa Kama parvovirus,rabies,distemper leptospirosis unatakiwa kupiga chanjo ya rabies vaccine,na chanjo moja inayobeba magonjwa manne inaitwa DHLP hii husaidia kuzuia magonjwa dhidi ya mbwa wako
Mkuu naitaji hiyo tiba kwa mbwa wangu wailing dume na jike napatikana chanikaPia Kama ukihiitaji kukupatia huduma hiyo unaweza tukazungumza tuyajenge vizuri ndugu yangu me ni daktar wa mifugo
Pole sana mkuu. Huyo mbwa anaumwa ugonjwa wa parvo. Hawezi kupona kwa kuwa hakuchanjwa dhidi ya ugonjwa wa parvo virus.Mbwa wangu anaharisha damu nimenunua mbwa mtaani sijui kama alipata chanjo yeyote unanisaidiaje doctor
Mungu mwema bado wanaendelea vizuri kuna daktari amenipa dawa inaitwa petgurd sina uhakika na jina ila kasema inatakiwa niwapige chanjo shida nipo chanika yeye yupo tabata segereaPole sana mkuu. Huyo mbwa anaumwa ugonjwa wa parvo. Hawezi kupona kwa kuwa hakuchanjwa dhidi ya ugonjwa wa parvo virus.
Sawa mkuu. Wasiliana na ofisa mifugo wa kata atakuja kuwachoma sindano mkuu.Mungu mwema bado wanaendelea vizuri kuna daktari amenipa dawa inaitwa petgurd sina uhakika na jina ila kasema inatakiwa niwapige chanjo shida nipo chanika yeye yupo tabata segerea
Kama kuna daktari wa mifugo hasa mbwa yupo chanika msaada
Tayari wamepata matibabuSawa mkuu. Wasiliana na ofisa mifugo wa kata atakuja kuwachoma sindano mkuu.