Mkuu kwa case yako kuku kutoa choo cheupe kilichochanganya na kijani ni mwanzo mwa dalili ya homa ya matumbo kwa kuku (fowl typhoid) ama kipindupindu cha kuku (fowl cholera) hivyo basi ningekushauri umtenge huyo kuku mgonjwa na umwanzishie dose ya ESB3 kwa siku tatu changanya vijiko vinne vya chai kwa maji ya lita 20 mpe anywe.....
Na pia ningependa uwaanzishie dose kuku waliosalia kwa kuwapa pia Esb3 iwe kama prophylaxis dhidi ya ugonjwa huu....
Kwanini Esb3 hii dawa ni jamii ya sulfur na inauwezo wa kukinga kuku wako dhidi ya magonjwa matatu nayo ni fowl typhoid fowl cholera na coccidiosis....
Kila la kheri Mkuu....