Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, Bila kukosea?!!!Hii kwenye simu itakusumbua na inaweza kuwa na mgogoro na hawa jamaa kukupa hela issue rahisi ni kutoa mikeka kwenye vibanda vya kubet na utahitaji watu hata 10 wa kukusaidia kutoa mikeka hiyo maana kila mtu utampa list ya mikeka ya kutoa na inahitaji umakini team hata moja isikosewe kwenye mkeka
Ndio kuna Tree diagram ambayo ndo itatumiwa na kabla ya kutoa mikeka tunaitest hata kwa week mbili kwanzaDuh! laki 9 ya buku buku inamaana ni mikeka 900 au sijaelewa?
Mpaka hapo we in nguli tayari maana unapata wacwac namna ya kuipangaNdio kuna Tree diagram ambayo ndo itatumiwa na kabla ya kutoa mikeka tunaitest hata kwa week mbili kwanza
Tree diagram Kuipanga ni rahisi sana cha muhimu ni kuwa makini pale anapo print mikeka. akimaliza kuprint tunaikagua km ipo sawa ambayo itakuwa imekosewa tunaiprint tena hiyo iliyokosewaDuh, Bila kukosea?!!!
Mkuu kama premier bet!! Nimekuelewa mkuuHii kwenye simu itakusumbua na inaweza kuwa na mgogoro na hawa jamaa kukupa hela issue rahisi ni kutoa mikeka kwenye vibanda vya kubet na utahitaji watu hata 10 wa kukusaidia kutoa mikeka hiyo maana kila mtu utampa list ya mikeka ya kutoa na inahitaji umakini team hata moja isikosewe kwenye mkeka
Hii test ni kwaajili ya kujiridhisha na kukagua mikeka kama imepangwa sawa kulingana na kanuni
Juventus win 1.35Duh! Tatizo jinsi ya kuipanga sasa.!
Hapana kulingana na history ya mchezo wa soka kuna baadhi ya mikeka tutaikata hatuta print maana kuna matokeo ni magumu kupatkana katika timu zote kwenye mkeka mfano team zote 13 au 10 kwenye mkeka home ashinde inakuwa ngumuMikeka mia tisa mbona mchache sana!
Hapo kuna mikeka mingi tu umeiacha
Fanya hiviHabarini wakuu, nataka kujilipua kwa kutandika mikeka ya milioni 1
Naomba mtaalamu anisaidie, kitakachopatikana kama nitafanikiwa
basi mgao utakuwa 60% kwa 40% Kama tutakosa hana lawama kwangu
ni matokeo tu.
Unapangaje hyo mkuu?Mkuu kuna njia moja inaitwa professor gharama yake ni laki 9 yani utatoa mikeka ya buku buku ya laki tisa na hii unacheza kwenye JACKPOT peke yake maana ndio kuna mkwanja mkubwa katika mikeka yote utakayotowa ni lazima mkeka mmoja utusue then kuna mikeka 3 ambayo utakosa team mbili na mwingine team 3