hata mimi naona ni ngumu sana kupanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi naona ni ngumu sana kupanga
Habarini wakuu, nataka kujilipua kwa kutandika mikeka ya milioni 1
Naomba mtaalamu anisaidie, kitakachopatikana kama nitafanikiwa
basi mgao utakuwa 60% kwa 40% Kama tutakosa hana lawama kwangu
ni matokeo tu.
Mkuu nakukumbusha tu asilimia yangu arobaini tafadhali08/03/19 10:45pm
Lincoln City - Yeovil Town
Football/England league two
Double Chance-FT (×1)
1.11
08/03/19 10:45pm
Hibernian - Rangers
Football / Scotland Premiership
Double Chance - FT (X2)
1.13
08/03/1910:00pm
Jong PSV - Jong FC Utrecht
Football / Netherlands Eerste Divisie
1X2 - FT (1)
1.28
Total Odds:- 1.605504
Ukiweka million 1 faida itakuwa 605,504 Tshs.
Yangu ni asilimia 40 sawa na 260201.6 Tshs.
Kazi njema!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante.
Mkeka umeshinda GAZETI Nirushie hako ka Laki moja mimi sitaki ASILIMIA 40%Juventus win 1.35
Norwich win 1.61
Linfield over 1.5
Rangers over 1.5
Total odds 3.12999*1,000,000=3,129,999
View attachment 1041033
Bet hatuweki 1M utalia na kusaga meno unless hiyo kwenye kazi yako million unaingiza baada ya dakika mojaHabarini wakuu, nataka kujilipua kwa kutandika mikeka ya milioni 1
Naomba mtaalamu anisaidie, kitakachopatikana kama nitafanikiwa
basi mgao utakuwa 60% kwa 40% Kama tutakosa hana lawama kwangu
ni matokeo tu.