Mtaalamu wa namna hii anahitajika

Mtaalamu wa namna hii anahitajika

Alvin

Member
Joined
Sep 7, 2009
Posts
9
Reaction score
0
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye miaka 26 nimeingia hapa kwa jinsi nilivyo ona kuna wachangiaji wengi na naamini pia watanichangia mawazo kadri ya upeo wa uelewa wa kila mtu kama nijuavyo kwamba mawazo nipewapo sio kila wazo ni sahihi!!

katika mkoa wa tabora kuna babu ambae kipindi hiko akiwa mdogo wa miaka kama 7(maskini ameshafariki sasa)mama yake ndio alikua anapikia vibarua waliokua wanafanya kazi kwa wajerumani.

wajerumani walikua wana kambi katika eneo hilo, wakati wanaondoka walichimba shimo refu nakufukia mali nyingi mzee huyu alichokua anakumbuka ni sanduku 7 alizo ona zimefukiwa sasa baba zetu walivyokua ndio wamekuja kutupa hizi hadithi kisha nikasema ngoja nijaribu bahati nasibu kwamba nitafikia wapi, tukajikaza wanaume 10 na kuamua kwamba tuchimbe eneo lile mpaka kuhakikisha kwamba kilichochimbiwa kinapatikana.
safari ya kuchimba ilianza na kua ngumu sana kwani baada ya kuchimba kidogo tuu kama futi 17 hivi tukafikia sealed ngumu sana ya granite stones ambayo tulijaribu kuweka acid ya kuyeyushia miamba lakini hakuna kitu, hatimae tukaamua kupasua kwa kutumia tambi za baruti hapo tukaweza kupenyeza, tulichimba kwa kiasi sana mpaka kufikia maji chini ambapo ujanja woote ulikomea hapo na kuanza kulumbana kisha moja wa timu yeye akasema bwana kama niniyi ni wa kristu ila mimi na kwenda kwa mganga kuangalia kama kuna lolote lile, hakupingika na kweli alikwenda moja kwa moja kwa mganga na mganga kumwambia aaah ninyi mmeacha mali juu nendeni kuchinma kuelekea kaskazini japo tulimwona hakwenda shule lakini tulifuata ushauri ule na kuanza safari mpya ya kuchimba tena kuelekea kaskazini kipindi, tulichimba mpaka kukuta giza nene kabisa ikabidi kununua tochi, kilichoniacha hoi ni kwamba yaani unaingia na tochi mpya yenye batries mpya kisha huisha hapo hapo, tukaamua kuingia na taa za chemli ila hapakua na mafanikio manake taa hupasuka chemli. tukaamua kuwasha vibatari vyenye tambi nene kabisa hapo ndipo kidogo niache kazi manake palitoka inzi wakubwa sana na wao walikua wanakuja tuu kuzima vile vibatari, na wakati wanazima vile vibatari tunasikia kama watu wanaita tunasikia psiii psiii psiii psii, sasa ile kazi imekwamia pale na sasa naanza kuamini kwamba uchawi wa mjerumani hautolewi na mtu mwingine sasa mimi ninachotaka hapa ni hiivi kwa yeyote anaejua kuna njia tunawezakutoa ile mali pale awasiliane na mimi kwa e-mail algore_sympson@yahoo.com ama anipigie 0688433961 ama tigo 0652417656 sihitaji msaada wowote wa fedha mimi nataka utaaalamu tuu na nitakua shea nae nusu kwa nusu
 
Mwe!
 
Alvin kwanza nakupongeza sana kwa moyo wa kijasili.Pili ushauri wangu kwa hilo naomba uachane kabisa na habari hiyo kwani mimi mwenyeji wa tbr miaka ya tisini nilishudia vifo vya watu wawili kwenye mashimo yaliyokuwa yakisadikiwa yalikuwa na rupia zilizo achwa na wajerumani lilikuwa ni eneo la kazima ugenge.
Tukiwa kwenye eneo la mazishi la vijna hao watu walisema Tanzania kuna maeneo mengi yenye madini ambayo watu huenda kuchina yanini uhangaike na mambo yasiyo na uhakika .Ushauri wangu tafuta sehemu nyingine yenye madini ukachimbe unachofanya ni hatari sana
 
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye miaka 26 nimeingia hapa kwa jinsi nilivyo ona kuna wachangiaji wengi na naamini pia watanichangia mawazo kadri ya upeo wa uelewa wa kila mtu kama nijuavyo kwamba mawazo nipewapo sio kila wazo ni sahihi!!

katika mkoa wa tabora kuna babu ambae kipindi hiko akiwa mdogo wa miaka kama 7(maskini ameshafariki sasa)mama yake ndio alikua anapikia vibarua waliokua wanafanya kazi kwa wajerumani.

wajerumani walikua wana kambi katika eneo hilo, wakati wanaondoka walichimba shimo refu nakufukia mali nyingi mzee huyu alichokua anakumbuka ni sanduku 7 alizo ona zimefukiwa sasa baba zetu walivyokua ndio wamekuja kutupa hizi hadithi kisha nikasema ngoja nijaribu bahati nasibu kwamba nitafikia wapi, tukajikaza wanaume 10 na kuamua kwamba tuchimbe eneo lile mpaka kuhakikisha kwamba kilichochimbiwa kinapatikana.
safari ya kuchimba ilianza na kua ngumu sana kwani baada ya kuchimba kidogo tuu kama futi 17 hivi tukafikia sealed ngumu sana ya granite stones ambayo tulijaribu kuweka acid ya kuyeyushia miamba lakini hakuna kitu, hatimae tukaamua kupasua kwa kutumia tambi za baruti hapo tukaweza kupenyeza, tulichimba kwa kiasi sana mpaka kufikia maji chini ambapo ujanja woote ulikomea hapo na kuanza kulumbana kisha moja wa timu yeye akasema bwana kama niniyi ni wa kristu ila mimi na kwenda kwa mganga kuangalia kama kuna lolote lile, hakupingika na kweli alikwenda moja kwa moja kwa mganga na mganga kumwambia aaah ninyi mmeacha mali juu nendeni kuchinma kuelekea kaskazini japo tulimwona hakwenda shule lakini tulifuata ushauri ule na kuanza safari mpya ya kuchimba tena kuelekea kaskazini kipindi, tulichimba mpaka kukuta giza nene kabisa ikabidi kununua tochi, kilichoniacha hoi ni kwamba yaani unaingia na tochi mpya yenye batries mpya kisha huisha hapo hapo, tukaamua kuingia na taa za chemli ila hapakua na mafanikio manake taa hupasuka chemli. tukaamua kuwasha vibatari vyenye tambi nene kabisa hapo ndipo kidogo niache kazi manake palitoka inzi wakubwa sana na wao walikua wanakuja tuu kuzima vile vibatari, na wakati wanazima vile vibatari tunasikia kama watu wanaita tunasikia psiii psiii psiii psii, sasa ile kazi imekwamia pale na sasa naanza kuamini kwamba uchawi wa mjerumani hautolewi na mtu mwingine sasa mimi ninachotaka hapa ni hiivi kwa yeyote anaejua kuna njia tunawezakutoa ile mali pale awasiliane na mimi kwa e-mail algore_sympson@yahoo.com ama anipigie 0688433961 ama tigo 0652417656 sihitaji msaada wowote wa fedha mimi nataka utaaalamu tuu na nitakua shea nae nusu kwa nusu

Watu huwa wanajiloga wenyewe halafu wanasingizia na kulaumu wajerumani! Hiyo kazi ya kuchimba mnaifanya kwa usimamizi wa nguvu za giza mlizotanguliza kupitia kwa mganga, hivyo sio ajabu kukutana na kila aina ya maajabu. Huyo mganga aliyewaugulia na kuwapa direction ya wapi pa kuchimba na direction ndiye anaye wa-control kaika hiyo safari yenu. Kama mna busara mumkane huyo ibilisi na mumkaribishe Mungu awaongoze katika yote mfanyayo na awaongoze nini cha kufanya. Vinginevyo mtatekwa sasa hivi mtatoweka.
 
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye miaka 26 nimeingia hapa kwa jinsi nilivyo ona kuna wachangiaji wengi na naamini pia watanichangia mawazo kadri ya upeo wa uelewa wa kila mtu kama nijuavyo kwamba mawazo nipewapo sio kila wazo ni sahihi!!

katika mkoa wa tabora kuna babu ambae kipindi hiko akiwa mdogo wa miaka kama 7(maskini ameshafariki sasa)mama yake ndio alikua anapikia vibarua waliokua wanafanya kazi kwa wajerumani.

wajerumani walikua wana kambi katika eneo hilo, wakati wanaondoka walichimba shimo refu nakufukia mali nyingi mzee huyu alichokua anakumbuka ni sanduku 7 alizo ona zimefukiwa sasa baba zetu walivyokua ndio wamekuja kutupa hizi hadithi kisha nikasema ngoja nijaribu bahati nasibu kwamba nitafikia wapi, tukajikaza wanaume 10 na kuamua kwamba tuchimbe eneo lile mpaka kuhakikisha kwamba kilichochimbiwa kinapatikana.
safari ya kuchimba ilianza na kua ngumu sana kwani baada ya kuchimba kidogo tuu kama futi 17 hivi tukafikia sealed ngumu sana ya granite stones ambayo tulijaribu kuweka acid ya kuyeyushia miamba lakini hakuna kitu, hatimae tukaamua kupasua kwa kutumia tambi za baruti hapo tukaweza kupenyeza, tulichimba kwa kiasi sana mpaka kufikia maji chini ambapo ujanja woote ulikomea hapo na kuanza kulumbana kisha moja wa timu yeye akasema bwana kama niniyi ni wa kristu ila mimi na kwenda kwa mganga kuangalia kama kuna lolote lile, hakupingika na kweli alikwenda moja kwa moja kwa mganga na mganga kumwambia aaah ninyi mmeacha mali juu nendeni kuchinma kuelekea kaskazini japo tulimwona hakwenda shule lakini tulifuata ushauri ule na kuanza safari mpya ya kuchimba tena kuelekea kaskazini kipindi, tulichimba mpaka kukuta giza nene kabisa ikabidi kununua tochi, kilichoniacha hoi ni kwamba yaani unaingia na tochi mpya yenye batries mpya kisha huisha hapo hapo, tukaamua kuingia na taa za chemli ila hapakua na mafanikio manake taa hupasuka chemli. tukaamua kuwasha vibatari vyenye tambi nene kabisa hapo ndipo kidogo niache kazi manake palitoka inzi wakubwa sana na wao walikua wanakuja tuu kuzima vile vibatari, na wakati wanazima vile vibatari tunasikia kama watu wanaita tunasikia psiii psiii psiii psii, sasa ile kazi imekwamia pale na sasa naanza kuamini kwamba uchawi wa mjerumani hautolewi na mtu mwingine sasa mimi ninachotaka hapa ni hiivi kwa yeyote anaejua kuna njia tunawezakutoa ile mali pale awasiliane na mimi kwa e-mail algore_sympson@yahoo.com ama anipigie 0688433961 ama tigo 0652417656 sihitaji msaada wowote wa fedha mimi nataka utaaalamu tuu na nitakua shea nae nusu kwa nusu

Hongera kaka kwa ujasiri wako huo na mshukuru Mungu kwa hilo kwani mimi nina kaka yangu wa toka nitoke alisikia kitu kama hicho akaamua kutumia kiasi cha fedha alichokuwa nacho kufadhili shughuli ya uchimbaji wa mali alizodhani kuwa zimefukiwa ardhini. Ninavyoandika hadi leo hii akili yake haikurudi sehemu yake kwani hata yeye alikutana na mambo mengi ya ajabu ajabu katika shughuli yake hiyo. May be unaweza fanikiwa japokuwa my brother alishindwa na kupoteza ufahamu wake hadi leo. Ol the best but take care!
 
Back
Top Bottom