anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :A political movement is generally an informal organization and uses unconventional methods to achieve their goals.
ok.🐒03 September 2026
Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030
View: https://m.youtube.com/watch?v=WaaT54VkSb0
Mazungumzo haya ya kina ya takribani dakika 40 yanayochambua hali ya kisiasa, usalama , na pia kuburuzana na taswira iliyochafuka kimataifa hata nchi jirani kupoteza kuamini tena haiba ya kiutawala wa serikali ya chama dola kongwe chini ya mkono wa chuma wa Samia Hassan
Akizungumzia hali ya sasa nchini mwezi huu september 2026 anasema nchi ipo pabaya sana na kuwa Samia Hassan hatofika mwaka 2030
Prof. Mihanjo pia azungumzia kuhusu kujiuzulu kwa Emmanuel John Nchimbi hakujamshangaza.
Prof. Mihanjo asema kuwa katibu mkuu Asha-Rose Migiro wa CCM kwamba chama kitamfia mikononi mwake kama mtendaji mkuu wa chama kutokana na kuziba midomo ya wanaCCM na wasio wana CCM
Mahojiano na Prof. P.A.N Mihanjo kuhusu hali ya kisiasa nchini.
Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..
Katika mazungumzo Prof. Mihanjo na Radio SAUT Digital leo 03 September 2026, amemkumbusha mazungumzo ya mwaka jana kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025 ambayo yalionesha magumu na makubwa yatamfika Samia wakati na baada ya uchaguzi walioutayari ktk mazingira yaliyotia shaka kuhusu mustakhabali wa taifa ikiwa uchaguzi wa ndani wa CCM wa Dodoma kutekwa nyara na kisha uchaguzi wa Oktoba 2025 kuwabania wapinzani halisi kushiriki
TOKA MAKTABA :
25 Aprili 2025
View: https://m.youtube.com/watch?v=wbk2XLS77j8Ushindi haupatikani kwa kutegemea 'chawa' wala wingi wa kadi. Watu wana kadi na mapenzi kwa vyama hata vitatu. CCM iwe makini wanatakiwa wasiwe na mazoea.
CHADEMA kimekaa muda mrefu kama chama cha siasa, sasa kimekuja kivingine kama MOVEMENT / VUGUVUGU 2025
anasema Prof. Mihanjo na anadadavua kwa kina :A political movement is generally an informal organization and uses unconventional methods to achieve their goals.
- 2015 CCM ilikuwa ipotee
- Kanda ya Ziwa ilibeba CCM chini ya JPM
- Rais wa sasa...
- Bagamoyo
- ccm kuelekea 2025 prof. eginald pan mihanjo
- Replies: 235
- Forum: Jukwaa la Siasa
Pongezi za dhati ya hii Radio Saut Digital, mtangazaji mzuri, mzungumzaji mzuri, namhofia huyu Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo, ni mkweli mno, asije kuitwa polisi kuhojiwa, kwa kutakiwa kuthibitisha ni nini kitamtokea Rais Samia hadi asifike 2030!, kwasababu mwenye uwezo wa kujua ni nani atafika 2030 na nani hafiki ni mmoja tuu, YEYE!.03 September 2026
Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030
Akizungumzia hali ya sasa nchini mwezi huu september 2026 anasema nchi ipo pabaya sana na kuwa Samia Hassan hatofika mwaka 2030
Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..
Pongezi za dhati ya hii Radio Saut Digital, mtangazaji mzuri, mzungumzaji mzuri, namhofia huyu Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo, ni mkweli mno, asije kuitwa polisi kuhojiwa, kuthibitisha nini kitamtokea Rais Samia hadi asifike 2030!.
P.
labda ana karama ya unabii/utabiri, who knows?Pongezi za dhati ya hii Radio Saut Digital, mtangazaji mzuri, mzungumzaji mzuri, namhofia huyu Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo, ni mkweli mno, asije kuitwa polisi kuhojiwa, kuthibitisha nini kitamtokea Rais Samia hadi asifike 2030!.
P.
HUyo prof, anaewafundisha polisi unadhani yeye atahofia kuhojiwa na wanafunzi wake?namhofia huyu Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo, ni mkweli mno, asije kuitwa polisi kuhojiwa, kuthibitisha nini kitamtokea Rais Samia hadi asifike 2030!.
P.
Umesoma hiyo cv yake kwa ufupi hapo mkuu ukashindwa kuelewa huyu anaweza kuws mtu wa namna gani?Pongezi za dhati ya hii Radio Saut Digital, mtangazaji mzuri, mzungumzaji mzuri, namhofia huyu Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo, ni mkweli mno, asije kuitwa polisi kuhojiwa, kuthibitisha nini kitamtokea Rais Samia hadi asifike 2030!.
P.
Wewe umeona kitu ambacho Pascal Mayalla aidha hajaona au amekipuuziaHUyo prof, anaewafundisha polisi unadhani yeye atahofia kuhojiwa na wanafunzi wake?
Kwa kuwa mkweli, wataogopa kumwita akaanike ukweli. Wataka chofanya Watampolepole. AlindwePongezi za dhati ya hii Radio Saut Digital, mtangazaji mzuri, mzungumzaji mzuri, namhofia huyu Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo, ni mkweli mno, asije kuitwa polisi kuhojiwa, kuthibitisha nini kitamtokea Rais Samia hadi asifike 2030!.
P.