Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030

Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030

03 September 2026

Mtaalamu wa Stratejia Prof. Eginald PAN Mihanjo: SAMIA HAWEZI KUFIKA 2030
Is CCM at risk in 2027 ? Prof. Mihanjo reveals serious new details regarding Dr. Nchimbi and also state of the Nation undercurrent threats

View: https://m.youtube.com/watch?v=WaaT54VkSb0

Mazungumzo haya ya kina ya takribani dakika 40 yanayochambua hali ya kisiasa, usalama , na pia kuburuzana na taswira iliyochafuka kimataifa hata nchi jirani kupoteza kuamini tena haiba ya kiutawala wa serikali ya chama dola kongwe chini ya mkono wa chuma wa Samia Hassan

Akizungumzia hali ya sasa nchini mwezi huu september 2026 anasema nchi ipo pabaya sana na kuwa Samia Hassan hatofika mwaka 2030

Prof. Mihanjo pia azungumzia kuhusu kujiuzulu kwa Emmanuel John Nchimbi hakujamshangaza.

Prof. Mihanjo asema kuwa katibu mkuu Asha-Rose Migiro wa CCM kwamba chama kitamfia mikononi mwake kama mtendaji mkuu wa chama kutokana na kuziba midomo ya wanaCCM na wasio wana CCM

Mahojiano na Prof. P.A.N Mihanjo kuhusu hali ya kisiasa nchini.

Prof. Eginald P.A.N. Mihanjo. PhD, MA in History, BA (Hon.) Educ. (UDSM) amewahi kuwa Kaimu Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu, Mhadhiri mwandamizi ndani na nje ya nchi, Mkurugenzi wa mafunzo wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa NDC kinachotoa mafunzo ya usalama -stratejia- ulinzi, mhadhiri Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Msumbiji Foreign Relation Kurasini.. pia ni mtaalamu wa Usalama, Ulinzi, Usuluhishi wa Migogoro kimataifa na kikanda ..

Katika mazungumzo Prof. Mihanjo na Radio SAUT Digital leo 03 September 2026, amemkumbusha mazungumzo ya mwaka jana kabla ya uchaguzi wa Oktoba 2025 ambayo yalionesha magumu na makubwa yatamfika Samia wakati na baada ya uchaguzi walioutayari ktk mazingira yaliyotia shaka kuhusu mustakhabali wa taifa ikiwa uchaguzi wa ndani wa CCM wa Dodoma kutekwa nyara na kisha uchaguzi wa Oktoba 2025 kuwabania wapinzani halisi kushiriki

TOKA MAKTABA :


Hawa ndio walisemaga hatoboi Urais 2025 ni mpumbavu tuu ndio atawazingatia.

Saizi wamesogeza mda mbele 😂😂
 
Wazee wa kanda ya ziwa wametamka [proclamation], kuondoa kilichofuatana na tamko lililobeba hatima [karma, fate, destiny] ya tamko hili sijui nini kifanyike ili jambo hili lisitokee

Tunahitaji majibu kutoka kwa wazee kama hawa.
 
TOKA MAKTABA :

October 16, 2025


Mazungumzo na Ezekiel Kamwaga Pt. 2: Maandamano Okt. 29, Kauli Tata za Viongozi


View: https://m.youtube.com/watch?v=1g2BvzdbS80
This is the second part of a special interview with Ezekiel Kamwaga, where the journalist and political analyst in Tanzania answers the question of whether the planned protests on October 29, 2025, will happen or not.


Je hali ilivyofikia Tanzania hadi tarehe 26 October 2026 mambo yameiva maandamano kufanyika bila kikomo ?

26 October 2026
Nairobi, Kenya

Nairobi CBD protests: Activists arrested as Kenyans demand lower fuel prices and taxes

View: https://m.youtube.com/watch?v=IxuuFxkBKr4

Fuel price protests: Activists arrested in Nairobi CBD​

Monday 26th October, 2026 02:37 PM|By David Nthua
Fuel price protests: Activists arrested in Nairobi CBD
Activists protest high fuel prices in Nairobi CBD on Monday, October 26, 2026. PHOTO/Screengrabby People Daily Digital from X
Several activists were arrested in Nairobi’s Central Business District (CBD) on Monday as police moved to disperse demonstrations against rising fuel prices, with protesters accusing the government of worsening the cost of living.

The arrests on Monday, October 26, 2026, came days after the Energy and Petroleum Regulatory Authority (EPRA) raised fuel prices for the October-November period, pushing the cost of petrol in Nairobi to Ksh226.96 per litre.

The protesters argued that higher fuel prices were increasing transport fares and putting additional pressure on households and businesses.

Activists accuse government of overcharging Kenyans​

One of the protesters claimed that the landed cost of fuel was KSh106 per litre, compared with Ksh226 at the pump, and accused President William Ruto and his associates of benefiting from the difference.

“That means Ruto and his cabal are stealing from Kenyans 100 shillings per litre,” the activist said. The allegation was not independently verified.

The activist also criticised fuel levies, arguing that Kenyans were not seeing corresponding development from the charges.

The demonstrations follow a series of public concerns over rising petroleum costs, including earlier protests in Nairobi CBD. Police previously arrested demonstrators during planned fuel price protests in April.

The protester vowed that demonstrations would continue until fuel prices came down.

“We will no longer come out of the street, not unless the fuel price imeshuka,” the activist said.

“Without fuel price kushuka, vijana tutakuwa tuko kwa barabara kila siku,” the speaker added.

The activist said the protesters wanted to draw international attention to the cost of fuel in Kenya and challenged the government’s explanation that global market conditions were responsible for the increases.

EPRA raises fuel prices for October-November​

In its announcement on Wednesday, October 14, 2026, EPRA increased the maximum retail price of Super Petrol by Ksh12.93 per litre, diesel by Ksh9.90 and kerosene by Ksh28.49.

The new maximum prices in Nairobi, effective from October 15 to November 14, are:

  • Super Petrol: Ksh226.96 per litre, up from Ksh214.03.
  • Diesel: Ksh227.76 per litre, up from Ksh217.86.
  • Kerosene: Ksh219.87 per litre, up from Ksh191.38.
EPRA attributed the adjustments to higher landed costs of imported petroleum products. The regulator’s pricing framework also accounts for applicable taxes, levies, transportation and other regulated costs.

The latest increases have renewed debate over how fuel prices affect public transport fares and the cost of goods and services.

EPRA’s October review raised all three major fuel prices.

The activist questioned why President Ruto had previously dismissed arguments based on global factors but was now citing international market conditions to explain fuel prices.

The speaker said the protesters would continue demonstrating until the cost of fuel falls.
 
Ni ujinga kujifariji na vitu kama hivi

Kwa ujinga wetu sote tumeshindwa kua na mbinu za kumuondoa huyu mama, kwakua ni ujinga wetu bas tukubari tu kuishi nae adi2030 ila kuanza kujifariji kwa hivi ni kukosa akili kabsa
 
Dalili ya mvua ni mawingu, panapofuka moshi hatimaye moto huwaka, El Nino ni dalili za .....n.k wahenga Prof. E.P.A.N Mihanjo wanatueleza
 
Huwa wanaanza kuwaandaa watu hivi au sio!!?mara katabiri,mara professor mara baba vanga!

Full sarakasi!!

Karatasi ya zamani inachomwa leo
 
28 OCTOBER 2026

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MWAKA WA KWANZA BAADA YA MAUAJI YA OKTOBA 29, 2025

Live: Uchambuzi Hali ya Siasa na Wadau wa Utawala Bora: Waibua Masuala Mazito

View: https://m.youtube.com/watch?v=8luJOUdnwh8
Leo October 28, 2026 Wadau wa utawala bora Rosemary Mwakitwange, Buberwa Kaiza na Dr. Azaveli Lwaitama walikuwa wakichambua masuala mbalimbali ya hali ya kisiasa, utawala bora
Source : The Chanzo
 
Back
Top Bottom