Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake

Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.

Akhsante mtaalam kwa ukweli wako

Screenshots_2024-01-18-08-01-50.png
 
sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake

kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia

akhsante mtaalam kwa ukweli wako
Nimemuona Times FM huyo mtaalamu , na huo ndo ukweli.
 
Kuna sisi ambao huwa tunakula sana chapati,maandazi na vitafunwa vingine ambayo kwa silimia 99% vimetengenezwa kwa ngano.

Na huyo mtaalamu kataja sama mgano,na haya machapati,maandazi yanatengenezwa kwayo.

Nahofia huwenda sisi wala vitafunwa hivi tukapata madhara kama wapatayo wanywa pombe.
 
Sio mtaalam wa biology ila nafahamu Mwanaume maana yake ni kuwa na uwezo wa kuzalisha mbegu zenye X na Y ambazo zinatengeneza mtoto either wa kiume au wa kike. Sasa Huo uwezo tu wa kutengeneza mbegu zinazotungisha mimba itakayoleta binti nafikiri tayari zinaashiria uwepo wa homon za kike mwilini.
 
Sasa kama wana homoni za kike si wanaweza kupelekewa moto? Vipi kuhusu kuzaa si watakuwa wanazaa watoto wengi wa kike? Na je hawa si ndio wenye tatizo la nguvu za kiume kuwa chache?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom