Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Kwa kuwa yeye amezoea kunywa Makonyagi basi anajikuta yeye ni kidume haswa..
 
Loh 😂😂😂
Ninakunywa sana Heineken mbona Nina watoto watatu wa kiume?
 
Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake

Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.

Akhsante mtaalam kwa ukweli wako

View attachment 2875102
Screenshot_20240118-083000.png

Kwa kifupi huyu ni kanjanja tu sio daktari wala hayuko registered.
 
Sawasawa.Kanywe na wewe bia kama ni rahisi.Si kila mtu ana hela za kupiga bia.Bia ni hela.Msio na hela mnasaka uhalali wenu kuficha ukapuku.Mnywe hata gongo.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Ningekuwa karibu yake ningemtemea makohozi.Kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu,eti mtaalamu.
 
Acha ukasuku wa kubugia maneno yote uyasikiayo.Unaonesha ulivyo lainilaini kifikra.Tafuta ushahidi kamili ndiyo ulete mjadala.Na si kuburuza vitu kutoka mitandao mingine na kuibwaga JF ijihangaikie.@Moderator
 
Naona bado una wenge la asubuhi mbona hujanijibu na unaniambia Nina hormone za kike as if umeshawahi kunifanyia vipimo?
Acha kukurupuka na kama wewe ni Ke ni DM nikutafute ili ujue kama Nina hormone za kike au za kiume.
 
Back
Top Bottom