Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Purely childish!Na hapa ndipo huwa tunapata majibu ya ufahamu,unyakuzi,upembuzi,uhakiki na kiwango cha umri katikauelewa wa mambo.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Mtanzania ukimuambia " wanasayansi wamesema mtu anayelala sana ana akili nyingi" tayari anaamini na kusambaza habari huku akiaminisha wenzie utafikiri alikua pamoja na hao wanasayansi maabara kwenye research, na wataalamu uchwara baada ya kugundua mTz ni kilaza wanaongea watakacho wanafahamu wataaminika.
 
Siku hizi kumeibuka Wataalamu wanaokuja na tafiti za uongo, na kutengeneza hofu kwa wananchi wengi lakini Serikali ipo kimya. Hawa watu hawafai hata kidogo.

Kuna mwingine atakuja kutuambia hata kutembea kilomita 5-10 kuna madhara.[emoji23][emoji23]

Tafiti za bila ushahidi ni sawa na makanisa ya akina Mwamposa.
Acha blah blah, huna credibility ya kumpinga Dr wewe Kilaza.
 
Siku hizi kumeibuka Wataalamu wanaokuja na tafiti za uongo, na kutengeneza hofu kwa wananchi wengi lakini Serikali ipo kimya. Hawa watu hawafai hata kidogo.

Kuna mwingine atakuja kutuambia hata kutembea kilomita 5-10 kuna madhara.[emoji23][emoji23]

Tafiti za bila ushahidi ni sawa na makanisa ya akina Mwamposa.
Hili jambo linaanza kuvuka mipaka kutoka kwenye changamoto na kuelekea kuwa tatizo sugu.Anakurupuka mtu akiwa na sandarusi lake kutoka kuokota chupa za plastiki(sidhani kama dunia kuna chupa za plastiki)anaanza kubwatuka neno lolote lilio karibu na magego yake.Na cha ajabu,anaungwa mkono kipuuzi tu.
 
Hili jambo linaanza kuvuka mipaka kutoka kwenye changamoto na kuelekea kuwa tatizo sugu.Anakurupuka mtu akiwa na sandarusi lake kutoka kuokota chupa za plastiki(sidhani kama dunia kuna chupa za plastiki)anaanza kubwatuka neno lolote lilio karibu na magego yake.Na cha ajabu,anaungwa mkono kipuuzi tu.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Sio mtaalam wa biology ila nafahamu Mwanaume maana yake ni kuwa na uwezo wa kuzalisha mbegu zenye X na Y ambazo zinatengeneza mtoto either wa kiume au wa kike. Sasa Huo uwezo tu wa kutengeneza mbegu zinazotungisha mimba itakayoleta binti nafikiri tayari zinaashiria uwepo wa homon za kike mwilini.
XX na XY ni chromosomes, siyo hormones.

Chief hormone ya kiume ni testosterone
 
Ngoja hili bandiko nikalibandike kwenye zile Bar karibu na mtaani kwangu...
Kwa wenye akili watakudharau.
1-Inaonesha unawadharau wanawake akiwemo hata mama yako mzazi.
2-Ni mpokeaji wa mambo yasiyo na ushahidi wowote wa kitaalamu/mshankumpe.
3-Huwezi kujisimamia na kuitafuta kweli hadi kuijua/mdandiaji.
4-Huna utulivu wa nafsi kwa kujihoji ndani kwa ndani kimantiki(mkurupukaji)
5-Si mdadisi wa mambo kiuendelevu wake.Hujiulizi;Waliyotengeneza bia wanayajua haya?
6-Mueneza hoja zisizo na ushahidi kwa umma(kaongokaongo na macho juujuu).
Yanakutosha hayo.
 
Kwa wenye akili watakudharau.
1-Inaonesha unawadharau wanawake akiwemo hata mama yako mzazi.
2-Ni mpokeaji wa mambo yasiyo na ushahidi wowote wa kitaalamu/mshankumpe.
3-Huwezi kujisimamia na kuitafuta kweli hadi kuijua/mdandiaji.
4-Huna utulivu wa nafsi kwa kujihoji ndani kwa ndani kimantiki(mkurupukaji)
5-Si mdadisi wa mambo kiuendelevu wake.Hujiulizi;Waliyotengeneza bia wanayajua haya?
6-Mueneza hoja zisizo na ushahidi kwa umma(kaongokaongo na macho juujuu).
Yanakutosha hayo.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
Nakushauri kwa wema tu.Usirudierudie sentensi moja kila wakati.Najua lengo lako ni kuudhi watu na kukera tu ili ufurahishe nafsi yako na za wanaokusapoti.Umeleta hoja huko ulipoitoa,sawa.Sasa,na wewe ijengee wigo isikuponyoke kwa udhaifu wa kutokuwa na ukweli wala uhakika wowote.Tutaiharibu JF kwa mahovyohovyo kama hayo.Badilika na uuache ushabiki wa mahovyohovyo.
 
Sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake

Kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia.

Akhsante mtaalam kwa ukweli wako

View attachment 2875102
Huyu Dr muongo sana. Kwa hiyo wanawake wanaokunywa pombe wana hormones za kiume. Angesema kwamba wanaokunywa pombe wanasababisha kuwa na hormone za kike labda ningefikiria kwa undani. Lakini siyo kwa shortcut evaluation kama hizi.
 
Back
Top Bottom