Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Mtaalamu: Wanaume wanaokunywa bia wana homoni nyingi za kike

Sio Daktari yule. Daktari hawezi kuongea uongo wa namna yake kwamba kuna sehemu za mwili hazina nerves hivyo zinatumia homones? Au na wewe kilaza?
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Ni kweli kabisa mkuu. Tunaambiwa tuwaamini kwa vile ni wataalamu, bila hata kuona hizo tafiti zimechukua mda gani.

Sijui tunatengeza wasomi wa aina gani tu.
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
 
Hili ameshaongea Papa kuwa vimelea viwekwe humo kuwapunguza ule uanaume wawe laini laini na chembe za kike kwa mbali ili wasionee mno wanawake.
Yaani Ile masculinity ipungue or manly behavior,nilikujaga kusoma mahala zamani mno kidogo miaka ya 2000 or late 90+
 
Kuongelea wanaume wanywa bia ni hali ya kuwa na hormone nyingi za kike.
 
pole sana mkuu kwa wewe pia kuwa mnywaji wa bia hizo na kuwa na utajiri wa hizo homoni nyingi za kike
Na wewe unarudiarudia sentensi moja muda wote unafanana na huyo mjinga mwenzio.Wote ni masikini wa akili.Kunywa bia hakufananishwi na kuuza mitishamba.Tuliza kiuno.
 
Kwahiyo akilewa zile homoni zinafanya kazi, ndiyo maanaaa...🤔
Wakilewa kwenye mziki wakibambiwa nyuma awakasiriki.

Mwanaume aliyelewa ukimpakia kwenye boda anajiregeza kama demu.

Mlevi akianguka akitaka kuinuka anabana miguu halafu anabinua matako kama demu.

Mlevi akikata mauno tako linakuwa rojorojo.
 
Kuanzia miaka ya 2005/2010 uzalisha wa wa bia feki ulianza

Sambamba na hilo wanaongoz dunia walitoa muongoz wa Siri BIA ziwekwe chemical ambazo zina beba elemi za wanawake (hommon za kike ) ili ku control mwendendo wa mtumiaji

Tukumbuke miaka ya 2005 kurud Nyuma kama una baba mlevi akirud nyumbn ndan ya wiki mama lazm awe kuna siku moja moja anamshiwa kpgo

Ila sikuhz mlevi atak ugomvi[emoji2][emoji2][emoji1781][emoji55]
 
Back
Top Bottom