Nimemuona Times FM huyo mtaalamu , na huo ndo ukweli.sijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake
kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia
akhsante mtaalam kwa ukweli wako
kisha niwe na homoni za kike kama wewe?Kula vyombo acha uoga uoga
nashukuru siyo mnywaji wa bia hizoNimemuona Times FM huyo mtaalamu , na huo ndo ukweli.
utakuwa na utajiri wa homoni za kike kwa mujibu wa huyo mtaalam ambaye nimemkubali mno kwa huo ukweli wakeBia tamu siachi ngooo
unabishana na mtaalamu? wewe ni mtaalamu?Atakuwa amesema yule daktari wa hapo juu hapo
Ameongea bila kutoa ushahidi/uthibitisho.Anaongea sentensi moja kwa kuirudiarudia na kulazimisha bila maelezo ya msingi.Tapeli tu huyo na hana hela ya bia.Apeche alolo!Nimemuona Times FM huyo mtaalamu , na huo ndo ukweli.
Huyo ni mganga wa kienyejisijasema mimi bali amesema mtaalam aliyenukuliwa na mtandao wa ommy msafi news hivyo nendeni huko mkaisikilize clip yake
kitu pekee ninachofurahi cognizant mimi ni kwamba sinywi bia na haitotokea nikaja kunywa bia
akhsante mtaalam kwa ukweli wako
πππ jamaa anazodolewa Ila kaongea ukweliAmeongea bila kutoa ushahidi/uthibitisho.Anaongea sentensi moja kwa kuirudiarudia na kulazimisha bila maelezo ya msingi.Tapeli tu huyo na hana hela ya bia.Apeche alolo!
Ukweli kwa ushahidi upi?KWAMBA:-πππ jamaa anazodolewa Ila kaongea ukweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama wana homoni za kike si wanaweza kupelekewa moto? Vipi kuhusu kuzaa si watakuwa wanazaa watoto wengi wa kike? Na je hawa si ndio wenye tatizo la nguvu za kiume kuwa chache?
kisa kasema ukweli kuwa wanywa bia wote mna homoni za kike? pole sana mkuu na zikubali tu hizo homoniAmeongea bila kutoa ushahidi/uthibitisho.Anaongea sentensi moja kwa kuirudiarudia na kulazimisha bila maelezo ya msingi.Tapeli tu huyo na hana hela ya bia.Apeche alolo!