Magufuli atabaki raisi aliyesambaratisha mafisadi papa na kufanya mambo ambayo mafisadi hao walihisi hakuna atakayeweza kuyafanya, kwa kizungu tunaita "Wonders"
Alifanya the inverse ya awamu ya 4 na ndio maana washenzi wengi waliteseka. Wengi waliokuwa wanalia chungu ya awamu ya 5 ni wezi matapeli, wanyonyaji na janja janja. Walikatiwa mirija ya upigaji.
Sasa mwamba hayupo kwao hali ni shwari wanatukana wanavyojiskia ila wakumbuke tu kuwa haitasaidia. Magufuli alikuwa na huruma kwa watu waliostahili huruma na alikuwa kavu kwa watu washenzi. Nitamkumbuka kwa hilo tu.