Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

Kuna tangazo linasema wale wote walioondolewa kazini kwa uonevu (bila barua) kuanzia 2016-2021 warudi kazini. HUU NI USHAHIDI YULE SHETANI ALIONEA NA KUUMIZA SANA WATU
Utaondolewaje kazini bila barua. Ni nani mjinga ataacha kwenda ofisini bila official notice. Ukiona hivyo ujue hukustahili kuwepo ofisini.
 
Kwa hiyo mafisadi wote walikuwa ni CHADEMA tu?"
 
Sababu za kiwizi au za kulazimisha uadilifu? Wewe kusimamiwa ufanye majukumu yako kwa ukamilifu ndio kugawa nchi. Acha uquma basi
Unaona ulivyo mpumbavu kama Magufuri wako,kugawa Watanzania kwa misingi ya vyama,ukabila na ukanda unaona ni sahihi?
 
Hao unaodhani wako serikalini kwa udini, wanaenda ofisini kuendesha Ibada?

Akili zenu hizi za kidinikidini, zinatuchelewesha sana hizi!
Sawa mkuu endelea hivyo hivyo na maono yako lakini ukweli unabaki palepale.
 
Sawa mkuu endelea hivyo hivyo na maono yako lakini ukweli unabaki palepale.
Mkuu, binafsi yangu, hili suala la udini, Africa limetufanya tuwe nyuma sana! Yaani mtu ni mzuri kichwani na mchapa kazi, asipewe nafasi kwa sababu ya dini yake tu?

Huo ni upumbavu
 
Nisome ujinga?
Kama umejiapiza kutosama hicho kitabu basi wewe utakuwa mjinga zaidi na kusema kweli hupiganii ustawi wa nchi hii bali unampigania mtu ambaye wengi wanaamini hakuwa timamu kiuongozi. Ungekuwa na akili nzuri, uwelewa wa kutosha na kuamini kwa dhati usahihi wa mtazamo wako ungesoma hicho kitabu na kuja kutuonyesha ujinga wa hao waandishi uko wapi.
 
Hicho utasoma wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…