Mtaani kuna pesa nyingi sana inayotafuta wahitaji

Sasa namuelewa sana JPM !

Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Haya mahesabu yapo too theoretical kwa maana kuna a lot of assumptions. Mfano hujaongelea logistic challenges. Hujaongelea location ilipo biashara. Hujaongelea situation ambapo biashara haitoki kwa sababu mbali mbali, mfano kuna mvua kali sana. Hujaongelea suala la labour charges kwenye hiyo faida.
 
Acha undezi, mahindi hayo unaenda kununua wapi? Mahindi watu wananunua Tandale (mahindi mabichi) au stereo. Kuke hakuna mahindi ya sh 50. Acha Usijifanye mjuajuji
 

Huyo anayeomba kupandishwa daraja (Mwalimu) kwa hiyo aache kufundisha aje kuchoma mahindi siyo? Ngoja tuache kazi tuje kuchoma mahindi alafu tuone watoto wetu watafundishwa na nani
 
Aisee try to be realistic maisha au hustling haiko hivyo naona unajihakikishia kwamba soko liko poa kila siku hakuna ushindani wala changamoto yoyote.
Kwa hiyo hesabu yako hapo juu ni wazi biashara huifahamu vizuri ungeleta hoja yako kama pendekezo ili upate mawazo badala ya kuileta kama conclusion...
 
Utakuwa uko frustrated na kadigrii wewe kachape kazi pesa ipo, jifunze uthubutu.
Aisee hautafuti hela peke yako wote tunatafuta na tunapata ila huwezi kujiamulia faida iwe inafanana kila siku huo ni mshahara sio kazi ndugu
 
Pouwa baadae ngoja niingie ndani kwa muiraq wangu niangalie uwasilishaji wa bajeti kuu ya serikali 2019/ 2020
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Watu Kama Hawa awe TRA halafu aje kwenye biashara yako akukadilie Kodi.
Haki ya Mungu lazima ufunge biashara!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
.....unataka kutuambia ni mahindi tu, ndio yenye uwezo wa kumfanya mtu atoboe na asiwaze vidaraja?....hongera, lakini kumbuka kuna watu wanafanya deal nyngne wanapata mafanikio na kufelia pia. So, kama lengo lako ni kutufunza uthubutu umefanikiwa kwa asilimia 90. Lakini kama lengo lako ni kutuaminisha utajiri upo hapo, binafsi najiweka pembeni kama 20percent. Afterall,....fursa hutegemea mahitaji, mazingira, n.k,pengine huko uliko mazingira yamekuleta kwenye neema ya mahindi ya kuchoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…