mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Kusimama muda mrefu. Na mikono kuungua
Unahisi shida ilikuwa nini ikamfanya akimbie?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahisi shida ilikuwa nini ikamfanya akimbie?
Acha mambo ako buanaa...labda uzito wa kilo😄hahaha masihara ayo ujue
Wewe mtu mzito sana
Haya mahesabu yapo too theoretical kwa maana kuna a lot of assumptions. Mfano hujaongelea logistic challenges. Hujaongelea location ilipo biashara. Hujaongelea situation ambapo biashara haitoki kwa sababu mbali mbali, mfano kuna mvua kali sana. Hujaongelea suala la labour charges kwenye hiyo faida.Sasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
hahahahaha!Hapo hujanunua kitambulisho cha mjasiriamali
haha unakwepaAcha mambo ako buanaa...labda uzito wa kilo😄
Loh,.ntashukuru mnoo..gunia kabisaa au kiroba??maana sijawahi pokea hata robo ya donahaha unakwepa
mi ntaja kukupa gunia ukakoboe ndo kauwezo kangu.
Acha undezi, mahindi hayo unaenda kununua wapi? Mahindi watu wananunua Tandale (mahindi mabichi) au stereo. Kuke hakuna mahindi ya sh 50. Acha Usijifanye mjuajujiSasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.
MAHINDI YA KUCHOMA
Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.
Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.
Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.
Matumizi:
Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day
Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.
Kwa siku 20 = 1,800,000.
Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
We si umezoea bathimati mama la mamaLoh,.ntashukuru mnoo..gunia kabisaa au kiroba??maana sijawahi pokea hata robo ya dona
Sasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.
MAHINDI YA KUCHOMA
Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.
Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.
Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.
Matumizi:
Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day
Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.
Kwa siku 20 = 1,800,000.
Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Aisee try to be realistic maisha au hustling haiko hivyo naona unajihakikishia kwamba soko liko poa kila siku hakuna ushindani wala changamoto yoyote.Sasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa , tena nyingi tu. Ukiumiza kichwa ukachapa kazi (bila ubaguzi) unapata pesa tena kiulaini kabisa.
MAHINDI YA KUCHOMA
Hindi moja nimekuwa nikinunua kwa TZS 50 mpaka 100 shambani kulingana na wingi wake.
Nikishalifikisha mjini umbali wa 20 km nikalichoma , naliuza TZS 500 hadi 600.
Nikinunua mahindi 200 nitauza TZS 120, 000.
Matumizi:
Bei ya kununulia ni TZS 20,000 ; Usafiri 3,000 ; nauli yangu 3, 000 ; mkaa TZS 2,000. JUMLA YA MATUMIZI NI TZS 30,000 per day
Faida = 120,000 - 30,000 = 90,000 per day.
Kwa siku 20 = 1,800,000.
Endelea kudai kupandishwa madaraja na nyongeza ya mshahara mpaka Yesu arudi.
Si umwache huyo muiraq wako urudi huku..uone kama najifichaWe si umezoea bathimati mama la mama
Ngoja nikuletee kitu toka igurusi
Tatizo lako ni kujificha tu
Aisee hautafuti hela peke yako wote tunatafuta na tunapata ila huwezi kujiamulia faida iwe inafanana kila siku huo ni mshahara sio kazi nduguUtakuwa uko frustrated na kadigrii wewe kachape kazi pesa ipo, jifunze uthubutu.
hahaha usitake ni dandie fuso la mizigo kuja uko sasa ivi ujueSi umwache huyo muiraq wako urudi huku..uone kama najificha
Dandia tyuuu😅😅😅hahaha usitake ni dandie fuso la mizigo kuja uko sasa ivi ujue
hahaha Haraka haraka haina barakaDandia tyuuu😅😅😅
Sawa boss wangu...hahaha Haraka haraka haina baraka
wacha nisubiri tu,
Pouwa baadae ngoja niingie ndani kwa muiraq wangu niangalie uwasilishaji wa bajeti kuu ya serikali 2019/ 2020Sawa boss wangu...
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Pouwa baadae ngoja niingie ndani kwa muiraq wangu niangalie uwasilishaji wa bajeti kuu ya serikali 2019/ 2020
Watu Kama Hawa awe TRA halafu aje kwenye biashara yako akukadilie Kodi.Sasa namuelewa sana JPM !