Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?


Unajidai sana na imani yako.Inabidi nifanye mpango uwe myahudi

Nashukuru sana master
 
Ukitushirikisha hayo maarifa itakuwa jambo jema

Tuanze somo, ili upate kuelewa:

1) Unatakiwa uwe msafi wa mwili na moyo.

Kwa usafi wa mwili, unatakiwa ukiamka Alfajiri utawadhe uwe msafi wa mwili, uwahi msikitini (wanaume), usali umalize, hapo unasafisha moyo wako na nafsi yako na kumuomuomba Muumba wako akuongoze kwenye njia iliyonyooka.

Anzia hapo, kila siku.
 
Kupambana sawa kama unapo pa kupambania.
Cha muhimu wewe Timiza majukumu yako kama unatafuta kazi wewe tafuta sana.
Isipopatika iyo inakuwa sio kosa ni haki tu ipo siku utapata.
 


Kuwa mwaminifu kwanza mkuu.
 


Kwanini iwe "kupambana" isiwe "juhudi"?
Kuna tofaut gan kati ya kupamban na juhud?
 
Ukweli mchungu ni kwamba uislam bila ushirikina hauendi kila jambo lao kuna tunguli hata waganga wote ni waislam na wao wanasema majini ni wema tu hawana ubaya
 
Ukweli mchungu ni kwamba uislam bila ushirikina hauendi kila jambo lao kuna tunguli hata waganga wote ni waislam na wao wanasema majini ni wema tu hawana ubaya
Weka ushahidi wapi katika Uislam umefundisha hayo, mimi sipajuwi.

Au unaota tu?
 
Mfano umenikopesha 5000 nikakurudishia 500 bado utaendelea kunidai hiyo 0 ambayo sijamalizia? Anyway sijaamka poa mfukoni chukua 50 upate japo kalmati hizo
Wapambanaji tunauombea mchongo utiki hizo 00 zitubless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…