Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?

Mtaani kunahitaji elimu, uchawi ama upambanaji?

Kwanza unamuhitaji Mungu atangulie mbele yako. Halaf maarifa yako na huo upambanaji ,sio tu ndio ufuate next, bali hustle zako uzi incorporate into God's ways, then stay focused huku ukijua Mungu anapambana pamoja na wewe. Sio wewe peke yako wala sio yeye peke yake.

Zaburi 119:105
"Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwangaza wa njia zangu".

Uchawi hauwez kukusaidia na kukupa raha.
Baraka ya Mungu katika hustle zako hainaga

Unajidai sana na imani yako.Inabidi nifanye mpango uwe myahudi

sina uhakika kufanikiwa kwa upande wako kupoje(yaani ili uone umefanikiwa uwe na nini hii inatofautiana baina ya mtu na mtu)
ila as long as unapata chakula bila kujali kwa kuomba,kuzulumu au vyvyte....we endelea kupambana mengine yanakuja ila mudaa tu ndio bado
NB: hakuna cha zaidi ya kupambana,pambana sana kila opportunity itumie kikamilifu
mfano mi nilipata m,azoea na dada wa stationary,bas ile kwangu ilikua opportunity kila siku nilikua na uhakika wa buku mbili..yani kila nafasi hata iwe ndogo vp usiache
halaf muda ukifika utashangaa kila kitu mtelezo
pole sana kwa changamoto
@kilalaheri
Nashukuru sana master
 
Ukitushirikisha hayo maarifa itakuwa jambo jema

Tuanze somo, ili upate kuelewa:

1) Unatakiwa uwe msafi wa mwili na moyo.

Kwa usafi wa mwili, unatakiwa ukiamka Alfajiri utawadhe uwe msafi wa mwili, uwahi msikitini (wanaume), usali umalize, hapo unasafisha moyo wako na nafsi yako na kumuomuomba Muumba wako akuongoze kwenye njia iliyonyooka.

Anzia hapo, kila siku.
 
Wajamvi polen. Na majukum.

Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu.

Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi uizangatie either uloge sana ,ama upambane sana ama uwe mcha Mungu sana ama ni kipi wadau?

ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.
Kupambana sawa kama unapo pa kupambania.
Cha muhimu wewe Timiza majukumu yako kama unatafuta kazi wewe tafuta sana.
Isipopatika iyo inakuwa sio kosa ni haki tu ipo siku utapata.
 
Wajamvi polen. Na majukum.

Ndugu yenu napitia changamoto hasa katika harakat za utafutaji unapambana sana lkn mwisho wa siku asbh unamka unajikuta huna hata sent ya kuanzia siku hiyo ,hadi unatamn usiku uendelee tu.

Mwisho wa siku najiuliza ili ufanikiwe katika haya maisha ni misingi ipi uizangatie either uloge sana ,ama upambane sana ama uwe mcha Mungu sana ama ni kipi wadau?

ukiwa unapitia huu uzi ukitupia hata buku tano wazee mkulungwa wenu niishi itakuwa sio vibaya.

Kuwa mwaminifu kwanza mkuu.
 
Tuanze somo, ili upate kuelewa:

1) Unatakiwa uwe msafi wa mwili na moyo.

Kwa usfi wa mwili, unatakiwa ukiamka Alfajiri utawadhe uwe msafi wa mwili, uwahi msikitini (wanaume), usali umalize, hapo unasaf9sha moyo wako na nafsi yako na kumuomuomba Muumba wako akuongoze kwenye njia iliyonyooka.

Anzia hapo, k

Kwanini iwe "kupambana" isiwe "juhudi"?
Kuna tofaut gan kati ya kupamban na juhud?
 
Sifahamu kwanini uyakisie maisha kwa kuhusisha yote hayo kwenye maisha yako ya kila siku?

Una maana Mwenyezi Mungu wako aliyekuumba hakukupa mwingozo wa ma9isha?

AlhamduliLlah, nimezaliwa na kukulia katika Uislam. Uislam umetupa A to Z ya maisha na hatuna haja ya kukisia namna ya kuishi.
Ukweli mchungu ni kwamba uislam bila ushirikina hauendi kila jambo lao kuna tunguli hata waganga wote ni waislam na wao wanasema majini ni wema tu hawana ubaya
 
Ukweli mchungu ni kwamba uislam bila ushirikina hauendi kila jambo lao kuna tunguli hata waganga wote ni waislam na wao wanasema majini ni wema tu hawana ubaya
Weka ushahidi wapi katika Uislam umefundisha hayo, mimi sipajuwi.

Au unaota tu?
 
Mfano umenikopesha 5000 nikakurudishia 500 bado utaendelea kunidai hiyo 0 ambayo sijamalizia? Anyway sijaamka poa mfukoni chukua 50 upate japo kalmati hizo
Wapambanaji tunauombea mchongo utiki hizo 00 zitubless
 
Back
Top Bottom