Master mjehe
Member
- Jan 7, 2014
- 77
- 84
- Thread starter
- #21
Kwanza unamuhitaji Mungu atangulie mbele yako. Halaf maarifa yako na huo upambanaji ,sio tu ndio ufuate next, bali hustle zako uzi incorporate into God's ways, then stay focused huku ukijua Mungu anapambana pamoja na wewe. Sio wewe peke yako wala sio yeye peke yake.
Zaburi 119:105
"Neno lako ni taa ya miguu yangu na mwangaza wa njia zangu".
Uchawi hauwez kukusaidia na kukupa raha.
Baraka ya Mungu katika hustle zako hainaga
Unajidai sana na imani yako.Inabidi nifanye mpango uwe myahudi
Nashukuru sana mastersina uhakika kufanikiwa kwa upande wako kupoje(yaani ili uone umefanikiwa uwe na nini hii inatofautiana baina ya mtu na mtu)
ila as long as unapata chakula bila kujali kwa kuomba,kuzulumu au vyvyte....we endelea kupambana mengine yanakuja ila mudaa tu ndio bado
NB: hakuna cha zaidi ya kupambana,pambana sana kila opportunity itumie kikamilifu
mfano mi nilipata m,azoea na dada wa stationary,bas ile kwangu ilikua opportunity kila siku nilikua na uhakika wa buku mbili..yani kila nafasi hata iwe ndogo vp usiache
halaf muda ukifika utashangaa kila kitu mtelezo
pole sana kwa changamoto
@kilalaheri