Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kwetu wanaiita "Kisungura" aloo vijana wanakuwa wazee kabla ya wakati wao.

E7B2BE95-355B-4EF7-8402-8BE2F5369B1C.jpeg
 
😁😁😁😁sijawahi kuiona huku kwetu wanameza moto tu ni mwendo wa kulala nnje kila siku
 
Hii kisungura na chang'aa ipi kali?
 
Back
Top Bottom