Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

espy

umri wake ni kati ya 28 na 34, ni mwembamba ila si sana, yani hana chura mkubwa mkubwa wala matiti kama Mzigua90. ni mzuri wa sura, mwerevu, mwenye roho nzuri, wife material, funny en mwenye kuchangamka mda wote.

she analytical, anachukulia vitu kwa uzito sana huku anajifanya she is simple. usipomjua utadhan hajawah kuwa serious lakin she is.

Mama shikamoo

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣😂😂😂😂😂
Haki nimecheka jamani, yaanj ninyimwe chura wa ukweli hadi kwenye utabiri🙆🙆🙆

Mkwe ulipotelea wapi lakini?
Happy new year.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka jamani, yaanj ninyimwe chura wa ukweli hadi kwenye utabiri[emoji134][emoji134][emoji134]

Mkwe ulipotelea wapi lakini?
Happy new year.
nilikuwa nawazoom kwa mbali mbali, huu uzi ukanitoa mafichoni.

heri ya mwaka mpya kwako pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom