Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Mtabirie mwana JF yeyote umri wake na mishe yake,na muonekano wake

Acheni izo mimi hapa OGView attachment 993281

Jr[emoji769]
Ahahahha mkuu naona ni kweli utabiri wangu wewe ni kibonge flani,umetoa colour tusione mvi ila kwa mbaali zipo nadhani.

Kumbe kweli unapenda mashati?

Kumbe ni kweli hupendi kufuga nywele kichwani mkuu?

Kumbe kweli ni muajiriwa mana nikitizama katika mewani yako naona magari mbele yamepaki kwenye kighorofa flsni hivi.

Ila yote haya ya kuleta picha kuna mtu kakufananisha na lemutuz ukaona ukane huo mfanano.

Inaonyesha wewe ni mtu mzima usiyezeeka mapema.

Tutajifunza kuishi kama wewe mkuu
Hishma kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom