Amesema wewe ni mweusi tiiiiiiii[emoji126][emoji126][emoji126]Jamani kwa hyo mm sifai
Mkuu, hakuna vitu hivyo Yanga. Hayo ni ya kwenu Simba.
Kamati kubwa ya ufundi ipo Simba ili wale hela za Mo. Siku akigoma wataanzisha zengwe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha. Maji ya Kunde
[emoji3][emoji3]kabisaKwamba anaweza akastaafu kwa hiyari yake sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba anaweza akastaafu kwa hiyari yake sio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]kabisa
Muulize mwenyewe
huyu hapa anajitetea Beb dollAhahaha. Maji ya Kunde
Aha sawa Jr.
Hahahaaa!!! Bila shaka wew ni mgeni humu jf karibu humu majina tunayoitana ni mkuu,cha pili usijifafanulie kitu chochote mpaka ufafanulie eg.Mimi ni simba usijiite ivyo mpaka uitwe simbaAgata Edward: kati ya 37_45 ni mama wa nyumbani.
Ahahahha mkuu naona ni kweli utabiri wangu wewe ni kibonge flani,umetoa colour tusione mvi ila kwa mbaali zipo nadhani.