Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Sijaolewa mkuu unataka uniwowe?Kula ujana dada angu ndo kwana una 29-30.
Umeolewa weye mhitimu wa 2012?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaolewa mkuu unataka uniwowe?Kula ujana dada angu ndo kwana una 29-30.
Umeolewa weye mhitimu wa 2012?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Hapo kwenye kupenda hadi kuwa tayari kutoa 0717Kipi kimekuchekesha mkuu
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Bebee di nilikuambia Nipigie nikusomee ukaringa...
Nitakuja nichukue nisome mwenyeweBebee di nilikuambia Nipigie nikusomee ukaringa...
Leo niko apa.. ndo naanza
![]()
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Tehehhee just joking mkuu.
Sijawahi mkuu hata wa kumpa mbele sijamuona badoTehehhee just joking mkuu.
Ila nadhani ulishawahi pendaga mpaka hyo stage
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Njoo chukue I'm all yours
Mm;mmmm wewe.
Safi, nakuja kuchukua vitabu pamoja na mwenye vitabuNjoo chukue I'm all yours
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Cheki ulivyo kambeyaMm;mmmm wewe.
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Hapo kwa mwenye vitabu.. utamuweza??
Yani nimeshangaa hataree.
Kwa hiyo nani anakuweza kama mimi sikuweziHapo kwa mwenye vitabu.. utamuweza??
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Haha hebu lalaYani nimeshangaa hataree.
Miaka 29-30 iwe bado hujamuona mmmmhhhhh ngumuuu kama kutoa bikira
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Si unajua siku nyingi sijakupataaa.. ndio nikauliza
Basi siji kama hutakiSi unajua siku nyingi sijakupataaa.. ndio nikauliza
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Sasa mm nakukataaje ww wakati ndie kigoma wangu nami treni nishafika
Aaah bado nilipo mda wa kulala
Basi usiku mwemaAaah bado nilipo mda wa kulala
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha